Shyrose Bhanji ajinadi vizuri bungeni katika kinyanganyiro cha ubunge wa EA

shyrose ashinda hongera sana kwake.
kwa kweli amesota sana katika anga hizi za siasa. tumuombee heri atuwakilishe vizuri.
yeye na nderukindo perpetua kessy wamenifurahisha sana.kwani hata perpetua amesota sana katika anga hizi wote wanaonesha ni wanawake wapiganaji na wachapakazi kila la heri kwao.
 
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni wamejitahidi na wameshinda sasa tusubiri utendaji kuujadili katika miaka yao mitano ya uwakilishi kila la kheri
 
sugu atawashawishi wanaCDM kumpa kura shyrose?
naamini wabunge wa cdm hawatoi kura ili mradi wanatoa kwa watu makini hivyo kama watakuwa wamempigia basi itakuwa wamejiridhisha anafaa.
 
Back
Top Bottom