Shutuma za Diamond Platnumz dhidi ya Forbes, sasa naanza kuamini maneno ya Vijiweni kuwa Bakheresa ni tajiri zaidi ya MO

Unajua nani anayeshikilia soko la kusafirisha korosho za Tanzania nje na nani ana kibali pekee cha kuingiza bidhaa za lg pamoja na pikipiki boxer, halafu next time ukikurupuka na kusema sijui bakhresa anamiliki shamba la miwa ukiwa unaelekea Tanga na kuona yale mashamba ya mkonge unayaangalia hadi unalala ukiamka hujamaliza ujiulize ni nani/...maana kwa uwezao wako wa kuchambua hoja hata nikikuambia ukafuatilie walipaji wakubwa wa kodi TRA kati ya MO na BAKHRESA bado ntakuchosha. Mo ni Tajiri bahili kuliko bakhresa ujue tu mwenzio ndo anaongoza kuajili watu wengi Afrika mashariki na kati baada ya serikali yako
Usisahau kuna mashamba ya chai huku tukuyu unaweza zunguka masaa matano na gari na usiyamalize
 
Back
Top Bottom