shut down :hibernate,stand by faint restart turn off havifanyi kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

shut down :hibernate,stand by faint restart turn off havifanyi kazi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mahesabu, Sep 9, 2012.

 1. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  msaada :
  nikitaka kuzima computer STAND BY na HIBERNATE zipo faint huku RESTARTna TURN OFF zikionyesha zaweza fanya kazi lakini niki-click RESTART haikubali na niki-click TURN OFF mara nyingine inakubali mara nyingine haikubali

  COMPAQ laptop
  WINDOW XP
   
 2. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  anyone here?
   
 3. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  still need help!!
   
 4. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  sasa imezima moja kwa moja na ukiwasha inazima hapo hapo
   
 5. leh

  leh JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  computer yoyote ukiona haikubali kusleep au hibernate inakuwa ni because drivers za vga hazipo. ila sasa hii ya kwako unasema hata restart haikubali. ningeomba maelezo zaidi kidogo kama lini tatizo lilianza, umeinstall windows upya au program mpya. unafanya updates za windows..
   
Loading...