Shupavu v/s dhaifu=shupavu au dhaifu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shupavu v/s dhaifu=shupavu au dhaifu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fursa Pesa, Jun 19, 2012.

 1. F

  Fursa Pesa JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 2,313
  Likes Received: 779
  Trophy Points: 280
  Mashupavu wanaposhirikiana na madhaifu wakati shupavu mmoja katolewa je,hao mashupavu waliobaki ni dhaifu au mashupavu? Naomba msaada wenu
   
 2. B

  Bob G JF Bronze Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kutolewa kwa JJ Mnyika bungeni leo kulikotokana na kusema ukweli ni Pigo Kubwa kwa ccm na Serikali yake, na Ushindi mkubwa kwa Mnyika na CDM. Siku zote ukweli utabaki kuwa Ukweli Na Unafiki Utaendelea kuwa ni sehemu muhimu ya wabunge wa ccm na Serikali yake. Umma wa watanzania uko Pamoja na JJ Mnyika na CDM
   
Loading...