Shule zote zifungwe

mgungani

Member
May 13, 2022
38
60
Tunaomba shule zote zifungwe wakati wa sensa. Hii kuwahadaa wazazi eti form four wabaki wakisoma halafu wazazi waongeze ada ni utapeli na kudharau maagizo ya serikali. Tena tuongeze ada bila kuwadhirikisha wazazi siyo sahihi kabisa.

Hizi shule za private washatufanya sisi misukule.waziri kemea huu ujinga. Lazima maamuzi ya serikali yaheshimiwe. Shule zote zifungwe wiki ijayo wanafunzi wapumzike wamekaa shule muda mrefu mno tangu january na wajiandae na sensa.
 
Mkuu shule ni gharama. Ukichanganya na siasa uzao wako utawaliwe milele kwani waziri anayeagiza shule zote zifungwe Ana UWEZO wa kuajiri walimu wakafundisha watoto wake nyumbani. Tazama namba ya kushauri kuboresha mpango wa shule anayosoma mwanao badala ya kubeza.
 
Back
Top Bottom