Shule zikifungwa ni muda mzuri wa kuelewa maana ya kuwa mzazi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
1118042
 
Ila pia ndio muda mzuri sana wa kutengeneza connection na watoto,ingawa uvumilie tu maswali kutwa nzima,kelele,vurugu,kutazama cartoon all the time yaan funny moments na kero moments ila ndio raha ya kua parent
Na once you manage to get that attachment, it will never go away. That’s what it will make them come to see you in your old age.
 
Kuna likizo niliwachukulia vitabu library, waliosoma Hadith ya Nuhu na safina. Nilipotoka kazini nilikua dining table imekuwa safina
Mkuu dinning'r itageuzwaje safina wakati wao wenyewe wana vyeo miongoni mwao?
Kuna kaka, dada wakubwa nk nk, wanaoweza ku maintain nidhamu ya humo ndani.
Maana hata shuleni kuna maviranja wanao represent walimu!
 
Ila katika vitu vyote mm hua wananikera ni kuchora kuta yaan kidume umepaka rangi ya bei ndani unakuta mwanangu kajipinda anachora apple
Mimi ni vyombo vya ndani, ninauliza hivi sahani itakuponyikaje ukiwa mwangalifu? Sasa wakishavunja wanasema mama samahani nilisahau kuwa mwangalifu.

Likizo ikiisha inabidi ubadilishe set ya jikoni. Unakuta mabakuli na sahani zimebaki mbili.
 
Ni uvumilivu tu sio siri ukikumbuka na ww ulikua unazingua kwa mzazi wako km anavokuzingua huyu unakua mpole tu
 
Mkuu dinning'r itageuzwaje safina wakati wao wenyewe wana vyeo miongoni mwao?
Kuna kaka, dada wakubwa nk nk, wanaoweza ku maintain nidhamu ya humo ndani.
Maana hata shuleni kuna maviranja wanao represent walimu!
Hawa watu wakishakutana wakiwa peke yao suala la nidhamu sahau
Nidhamu inakuwepo tu, unapokuwapo
 
Wazazi wa siku hizi aseee,

Akili mlizobakiza ni za madigiriiiii na phd aseeee

Sasa hata mtoto kucheza kwao unaona kero??

Kisheria huyo yuko kwao, ukiona ana kukera nawe nenda kwenu
Bado hujajua kwa nini yale majagi ya vioo yamepungua manyumbani sa hivi ni mwendo wa plastics tuuu.Bado remote, simu, havijaoshwa na Maji. All in all ni kumshukuru Mungu tuu Kwa kua kuna watu hawana watoto, kuna watu wanawatoto hawawezi kutembea mpaka wasogezwe. Ukiwa na watoto watundu mshukuru Mungu Sana.
IMG-20190604-WA0006.jpeg
 
Back
Top Bottom