Shule zafungwa Nigeria kufuatisha mashambulizi ya Boko Haram

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Majimbo manne Kaskazini mwa Nigeria yamefunga shule zote kufuatia tukio la kutekwa nyara kwa mamia ya wanafunzi katika jimbo la Katsina.

Amri hiyo ya shule kufungwa imetolewa katika majimbo ya Kano, Kaduna, Zamfara na Jigawa.

Muungano wa waalimu nchini Nigeria pia umetishia kufanya mgomo kulalamikia ukosefu wa usalama nchini humo.

Muungano huo umesema kwamba wanafunzi na waalimu wanalengwa na makundi yenye silaha Pamoja na wateka nyara.

Mamia ya wanafunzi walitekwa nyara wiki iliyopita, katika shule ya sayansi inayopatikana Kankara.

Kundi la wapiganaji wa kiislamu la Boko Haram limedai kuhusika na utekaji nyara huo.

Serikali kuu ya Nigeria haijatoa ripoti yoyote kuhusu mazungumzo na waliohusika katika utekaji nyara huo, kwa lengo la kuwaachilia huru wanafunzi hao.

Zaidi ya wanafunzi wavulana 300 hawajulikani walipo hadi sasa baada ya watu waliokuwa wamejihami kwa silaha kushambulia shule ya sekondari mjini Kankara, katika jimbo la Katsina, kaskazini magharibi mwa Nigeria.
 
Wamefanikiwa na ndio lengo lao kutengeneza chuki za kidin.For your information hao ni CIA ndio wamiliki wa makundi mengi ya kigaid kwa maslah ya kiuchumi.Kuna mwaka bokoharam waliteka wanafunz wasichana wakazama naoporin.Majeshi ya US,ufaransa na Ujeruman wakaenda kuungana na jeshi la Nigeria kuwasaka ila walishindwa.Lakin wanatechnologia ya kumtruck mtu na kumuua kwa drone kama walivyofanya kwa yule General wa Iran kule Iraq.Swali wameshindwa vp kuwapata wasichana 200 ?
 
Conspiracies...Hivi mnapata faida gan??Haya basi US walishindwa kwann Saudi Arabia wasijitolee kusaidia?
 
Hivi kati ya mtu kuchora picha za mtume au watu kuteka wanafunzi 300..kitu gani kinauchafua uislam??,

sasa waislam wote waliandamana kuanzia Uturuki,Iran,Pakistan mpaka Saudi Arabia kupinga mchoraji picha za mtume na aliyemchinja alizikwa msiba wa kishujaa lakini Boko haram wanateka wamafunzi 300 na tunaishia kuona tweet Au nyuzi za
tuislam tuwili tunatosema huo sio uislam
 
Conspiracies...Hivi mnapata faida gan??Haya basi US walishindwa kwann Saudi Arabia wasijitolee kusaidia?
SA=US upo? Wanasema ni nchi ya kidictotor mbona hawafanyi km Libya na Iraq ? SA wlivunja haki za binadamu kwa kumuua muandish wa habar ubalozin uturuki kwa nini Salman hakufikishwa ICC. Najarib tuu kuona nini kinafanyika kwenye huu ulimwengu wala sina mihemko ya kidin!!!!
 
SA=US upo? Wanasema ni nchi ya kidictotor mbona hawafanyi km Libya na Iraq ? SA wlivunja haki za binadamu kwa kumuua muandish wa habar ubalozin uturuki kwa nini Salman hakufikishwa ICC. Najarib tuu kuona nini kinafanyika kwenye huu ulimwengu wala sina migemko ya kidin!!!!
Haya je Iran na uturuki? mzee stor mnazoambiana msikitini zibaki ukouko usilete um
 
Umeshindikana😂😂
Hivi kati ya mtu kuchora picha za mtume au watu kuteka wanafunzi 300..kitu gani kinauchafua uislam??,

sasa waislam wote waliandamana kuanzia Uturuki,Iran,Pakistan mpaka Saudi Arabia kupinga mchoraji picha za mtume na aliyemchinja alizikwa msiba wa kishujaa huko urusi lakini Boko haram wanateka wanafunzi 300 na tunaishia kuona tweet Au nyuzi zako tu
 
Inashangaza nchi yenye uchumi mkubwa Africa (Nigeria) inashindwa kulinda usalama wa raia wake mpaka kufikia hatua ya kufunga shule.

Cha ajabu zaidi nchi hii (Nigeria) Ina wanajeshi wanaolinda amani mataifa mengine ila kuwalinda raia wao ndani ya nchi hawawezi.

Nadhani huenda hilo jeshi lao ni la gwaride tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom