Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
G
weka namba za simuHusika na kichwa hapo juu, naomba kujua shule yoyote ya secondary Binafsi ambayo ina Changamoto au Upungufu wa Walimu wa PHYSICS na MATHEMATICS. Nahitaji kwenda kuomba nafasi ya kufundisha masomo hayo.
wewe ukiwa kama Mzazi, mwanachi, mdau au mwanafunzi naomba kupata majibu haya.
Natanguliza shukrani.