Shule za mkoa wa Kilimanjaro zinafeli wapi maana hazimo Top ten ya matokeo kidato cha nne!

Bwashee ungeweka hiyo list ya top 10 juu hapo kwenye post ya kwanza,sio kila mtu anajua Top 10 list.
 
Umedandia treni kwa mbele manka!
Nimechunguza aina ya posts zako, nikatamani nikusikie hata kwa sauti . Tumesomeshea baadhi ya watoto wetu shule za Kilimanjaro na wengine mikoa yetu miaka kadhaa iliyopita now we can note their differences! Hadi leo Kilimanjaro bado ni kitovu cha ubora wa elimu. Tulioko mikoani tusiwabeze watu hao kwa vigezo vya tofauti za kisiasa.
 
Mtu wa Kilimanjaro ila mlamba matakor wa bwana mawe?

Really?

Utakua sio mwenyeji wa kweli,utakua muhamiaji wa miaka ya karibuni

Uangalizi wako sio sahihi

Hakunaga mwaka Shule bora kabisa yenye watoto zaidi ya 25 ilishawahi kutoka Kilimanjaro, never

Chini ya watoto 25 ndio huwa zinatoka Uru Seminary, Maua, St. James etc....juu ya 25 students KLM has never put up any school on top 10 au even top 20

Kilimanjaro huwa inaongoza kwenye ufaulu wa jumla jumla

Sijacheck mwaka huu kwenye ufaulu wa jumla KLM imekua ya ngapi, sidhani ndani mikoa top 3 inakosekana, I dont think so.
Wewe utakuwa unapaqatwa sio bure, St. Mary Goreth imewah kufanya hvo Kibosho gals likewise hata hzo seminary zmewah kuingia kwnye category ya wanafunz zaid ya 40 mara kibao tu, Scholastica imewah
 
St. Mary Goreth,piece of nonsensical school iwe ya kwanza Tanzania nzima?

Are you insane?

SMG inajengwa naiona kwa macho,a mix,day and boarding school iwe ya kwanza Tanzania nzima?Una mavi wewe kidungu maria?

Kafie huko

Let link ya NECTA kuonesha SMG ilishawahi shika namba 1 Tanzania nzima,weka link hapa!

Huna

Seminary zimeshika category ya below 40,for decades mpaka leo

Scholasrtica is another rubbish school,never been number one in Tanzania,never!

Unaongea kama umepigwa ufunguo,weka links hapa,hunaaaa!
Hujui unachoongea, Issue sio kuwa namba moja... Issue ni shule ngapi kutoka Kilimanjaro zimewahi kuingia top 10

BTW kushika namba moja pia zmewahi kushika shule nyingi from that region regardless of the category, Your problem is hutaki na hupendi kusikia hilo au umetokea NTWARA nn?😝😝

Hutaki kapigane na Ukuta
 
Ndumilakuwili ni fictional character,kua wake zake ni sawa na fction

Ila mawe ni real person,nyie wake zake,which makes it real!

Upgrade your brains maafakaz!
Ati fiction character, ndumilakuwili ni mbowe, mtu anasema lowasa fisadi afu anakuja waambia sio fisadi, awe Rais. Huo ndio undumilakuwili, hutaki viti maalum leo, afu una pokea ruzuku zao kisirisiri. Huo ndio undumilakuwili, na nyinyi nyumbu woote, madafakas, ndio wake zake.
 
Back
Top Bottom