Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Mimi nakufahamisha kuwa huko, sina ushahidi kwa sasa, lakini kuna mengi yanfanyika yasio kawaida. Hilo amini usiamini. Kwa elimuyipi zaido mliyonayo au uwezo upi zaidi mliouonesha maishani?
Juzi tumemsikia hapahapa JF kawekwa eti Profesa anaongea Kingereza, mpaka unajiuliza huyu kafikaje huko?
Yapo yanayojitokeza kidogokidogo...
Shule ya kiislam Machame yashika nafasi ya kwanza Kilimanjaro kwa matokeo ya kidato cha sita
Hongera sana shule ya kiislam ya Mudio Islamic iliyopo machame masama kwa kushika namba moja kimkoa kwani imeongoza Kilimanjaro katika matokeo ya kidato cha sita katika shule zisizo za kiserikali mwaka 2018 Big up kina mangi wa huko machame Nb:Hayo ni matokeo ya 2018 mimi nimeikuta leo napost tuwww.jamiiforums.com
Suala la Ndalichako sio kuliacha lipite kimya kimya. Akiwa Nect alikuwa anawakata waislamu majina na kuwapa zero. Hadi JK akamuondoa.
Sasa hivi kawa waziri kamili.
Naomba waislamu wote twende Ikulu tukapande mwongozo.
Kwana English ya Nadalicho yenyewe kumbe kichekesho kitupu. Vyeti vyetu vina saini lake kumbe broken English. Hivi hakuna namna ya kufuta ile saini ya Ndalichako kwenye cheti?
Takbiiir
.