Shule za Kata Banaa!!!

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,617
1,225
Shule za kata bhanaa kuna mtoto alikuwa anachapwa na mwalimu wake, mwalimu alikuwa anamwambia SPEAK ENGLISH sasa akichapwa analia MAMA YANGU WEWE mwalimu akamchapa tena akamwambia Speak English mtoto akalia MATHER ME YOUU MATHER ME YOUU
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
25,562
2,000
hizi shule anasoma watoto wa maskini na hawana nafasi kabisa katika uchumi wa nchi hii - na future yao ni giza totoro. Yaani kumpeleka mwanao katika shule hizi ni bora hata ubaki naye nyumbani umfundishe wewe mwenyewe.

Kukubali shule hizi ni kuIbaka elimu ya Tanzania - Ni bora mtoto amalize darasa la saba amfundishwe ufundi na ujasiriamali kuliko kupoteza miaka 4 kwenye shule za ajabu ajabu zisizo na viwango. Hizi shule ni matokeo ya siasa uchwara....
 
Peter lilayon

Member
Aug 13, 2011
52
0
Noma nilikuwa field pande za misungwi kuna shule ya kata inaitwa mawe matatu kwa naibu wazr fulan watoto wanaenda more 20km per hataelewa kiingereza wajaman?
 
Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,178
2,000
hizi shule anasoma watoto wa maskini na hawana nafasi kabisa katika uchumi wa nchi hii - na future yao ni giza totoro. Yaani kumpeleka mwanao katika shule hizi ni bora hata ubaki naye nyumbani umfundishe wewe mwenyewe.

Kukubali shule hizi ni kuIbaka elimu ya Tanzania - Ni bora mtoto amalize darasa la saba amfundishwe ufundi na ujasiriamali kuliko kupoteza miaka 4 kwenye shule za ajabu ajabu zisizo na viwango. Hizi shule ni matokeo ya siasa uchwara....
Shule hizo ndiyo siyo nzuri lakini kwa kiasi fulani zinasaidia, tatizo mimi nalo naliona kwa watoto wetu wa siku hizi kuwa hawajitumi na kupenda kusoma, wanataka spoon feeding na matanuzi kwa mbele.
 
Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,178
2,000
Shule za kata bhanaa kuna mtoto alikuwa anachapwa na mwalimu wake, mwalimu alikuwa anamwambia SPEAK ENGLISH sasa akichapwa analia MAMA YANGU WEWE mwalimu akamchapa tena akamwambia Speak English mtoto akalia MATHER ME YOUU MATHER ME YOUU
Hii sijawahi kuisikia aisee tehe tehe tehe
 
sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,960
1,250
Shule hizo ndiyo siyo nzuri lakini kwa kiasi fulani zinasaidia, tatizo mimi nalo naliona kwa watoto wetu wa siku hizi kuwa hawajitumi na kupenda kusoma, wanataka spoon feeding na matanuzi kwa mbele.
Mkuu hizi shule hazisaidii chochote, nyingi hazina walimu... Watoto hata wakijitahidi vipi wanakosa mwongozo..mi naamin ziko kwaajili ya kuua elimu ya tz...we uliona wapi mtoto wa kiongozi, anasoma shule ya kata?
 
Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,763
1,500
Shule ya Sekondari Mangua ! imeanzishwa mwaka 2008! ina jumla ya wanafunzi 360 na walimu wa 3!
 
Capitano

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
1,959
2,000
Mimi nimesoma shule yenye jina kubwa wakati ule.Inaitwa............. AKA CAIGO. Na imetoa watu maarufu na hata raisi mmoja alisoma shule hii,hata hivyo kuna wengine du!! wee acha tu maana nilimkuta classmate wangu akijaribu kuelezea jambo fulani kama ifuatavyo.

You go this way you go you go you thereeeee at the cry side you will see a house of ambassador of house ten ten and drum far far being played there then you cross to the left hand you see a milk Nyasa.
Thanks.
 
Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,422

Hapana bwana,huyo kiingereza anajua alikuwa anafanya makusudi!
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,525
2,000
Hizi shule ni lawama kwa watoto, hakuna kitu. Kuna shule toka zianzishwe hazijawahi pata mwl. Wa Hesabu na Fizikia.
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,058
2,000
i am wife big of this factory.......

mimi ni mkemia mkuu wa hiki kiwanda lol
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom