Ndugu zangu wana jamii Forums nawaomba ushauri wenu. Mimi nina Binti yangu amemaliza kidato cha nne mwaka huu na hivyo nataka kumtafutia shule binafsi za wasichana za A level. Naomba mnishauri kati ya shule zifuatazo zipi ni shule zinazofaa kumtafutia Binti yangu. Shule zenyewe ni kama ifuatavyo:- Kifungilo, Mazinde, Maria Goreti, Marian, Canossa, Feza Girls na Loretto. Nawaombeni mzipange kwa ubora.