Shule za binafsi za wasichana za A-level

murumbasi

Member
Dec 3, 2014
75
25
Ndugu zangu wana jamii Forums nawaomba ushauri wenu. Mimi nina Binti yangu amemaliza kidato cha nne mwaka huu na hivyo nataka kumtafutia shule binafsi za wasichana za A level. Naomba mnishauri kati ya shule zifuatazo zipi ni shule zinazofaa kumtafutia Binti yangu. Shule zenyewe ni kama ifuatavyo:- Kifungilo, Mazinde, Maria Goreti, Marian, Canossa, Feza Girls na Loretto. Nawaombeni mzipange kwa ubora.
 
Shule zote ulizotaja ziko poa sana hasa za Katoliki, Chaguo ni lako sasa na unene wa mfuko wako.
 
Nisaidieni kujua ni shule zipi bora zenye imani ya kipentekoste na kitaaluma ziko juu.

KUNA SEMINARI ZA WAPENTEKOSTE ?
 
Si umpeleke ile ya Prof mama Anna Tibaijuka maana naamini baada ya kupata msaada wa bilion 1.6 huenda hata ada ya shule atakuwa amepunguza Babro Jahanson Model Girls Secondary School
 
marian girls..kati ya hzo ulizotaja ndo inaongoza.na ada yake nasikia.ni reasonable
 
Kimatokeo zimeshapangwa na wizata kwenye matokep yaliopita.ila uzuri wa shule nimjumuisho wa mambo mengi
Taaluma
Maadili ya walimu na viongozi au wamiliki
Mandhari na usalama wa maisha ya watoto
Ukaribu na uwezekano wa kupata habari za mtoto na kufuatilia
Mafunzo mengine licha ya masomo yale ya mrihani wa taifa mf michezo mapishi etc
Kwangu mm umuhimu wa kwanza ni maadili ya walimi na viongozi namba 2 ni masomo au taaluma 3 ni extrà curicular na lazima iwe sehemu isio na mbu. Bila kusahau combination yake.
Kwa hio ktk list yako mary goretti. Mazinde kifungilo. Canossa feza marian
 
Ndugu zangu wana jamii Forums nawaomba ushauri wenu. Mimi nina Binti yangu amemaliza kidato cha nne mwaka huu na hivyo nataka kumtafutia shule binafsi za wasichana za A level. Naomba mnishauri kati ya shule zifuatazo zipi ni shule zinazofaa kumtafutia Binti yangu. Shule zenyewe ni kama ifuatavyo:- Kifungilo, Mazinde, Maria Goreti, Marian, Canossa, Feza Girls na Loretto. Nawaombeni mzipange kwa ubora.
Zote no Bora..
 
peleka baobab
 
zote hizo ni nzuri.. ila sasa;

FEZA ada ni kubwa sana ila ikifanya necta lazima afaulu.
MARIAN na FEZA..hawana mchezo,kama hajiwezi darasani atachujwa tu,ila kuna walimu wazuri na mazingira mazuri sana..kama unajiweza mpeleke ufaulu ni hakika.
hizo zilizobaki pia ninzuri kwa kulingana na matokea ambayo huwa nayaona ila sizifahamu sana.
 
Back
Top Bottom