Shule yafungwa baada ya mwalimu kubainika kuwalawiti watoto 3 wakiume

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Shule ya Mosoriot katika Kaunti ya Bomet imefungwa kwa muda usiojulikana, baada ya kubainika kuwa Mwalimu wa Shule hiyo, Bernard Kirui aliwaingilia kinyume na maumbile watoto 3 wa kiume wenye umri wa miaka 11-13

Taarifa zinasema malalamiko kutoka kwa Wafanyakazi wa shule hiyo yalifanya Uongozi ambapo uchunguzi ulibainisha kuwa mwalimu alikuwa akilala katika bweni la Wavulana licha ya kuwa na chumba alichotengewa na shule hiyo

Aidha, Watoto hao wanapatiwa matibabu na ushauri nasaha huku mtuhumiwa akishikiliwa na Polisi

..................................................

Mosoriot Academy in Bomet County has been closed down indefinitely, just a day cases of sodomy by a teacher were reported.

The school was closed down by county Education Ministry officials early Tuesday, with several photos showing parents and teachers exitng the school.
Meanwhile, a male teacher is being held in Bomet County after he allegedly sodomized three pupils aged between 11 and 13.

The suspect was taken to Mogogosiek Police Station in Konoin and is set to be arraigned over the heinous acts at Mosoriot Academy. Konoin police boss Tom Achiya said the suspect, Bernard Kirui, was arrested after one of the victims complained of severe pain and was rushed to Litein Mission Hospital; where it was established that he had been sodomized.

"His arrest follows complaints from staff members at the school. We conducted investigations, which led to the apprehension of the suspect," Achiya said.
Preliminary investigations show that the teacher slept at the boys' dormitory despite having a room allocated to him by the school.

"We are contemplating closing down the school to pave way for investigations amid complaints from parents and the local community," Koiwa Chief Emmy Ngetich told Citizen Digital.
The suspect is expected at Sotik Law Courts once police conclude their investigations.

Source: Citizen Digital
 
Jamani dunia inaenda wapi? Yaani unatamani mtoto kabisa.
Alikosa Ng'ombe, Punda, Mbuzi na Kondoo so lazima afanye hayo.

Wakenya si kwenye chakula tu.wana taabika hata papuchi ni tatizo kubwa sana kwa hawa viumbe. Na hata hao wenye uhakika wa papuchi, wengi wao wanakula papuchi za hovyo mno.

Ni laana kuwa Mkenya.
 
Back
Top Bottom