Shule ya Senge na shule ya Kipumbuiko zilizopo Tanzania.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
f72ea42d379dfd00fde6877a7a8e577b.jpg

Kipumbu iko shule ya msingi.
d2558fe859897768527d20c9710eeeb7.jpg

Shule ya sekondari ya wa SENGE.
 
Nothing is in a name

Habari za jumapili wapendwa?
Hakika kila mtu humu ana wazazi/mzazi/walezi.

Wazazi/walezi wetu walijitoa muda, akili, mali zao japo wengine walikuwa na maisha ya shida taabu ila walifanya vibarua na kubangaiza kuhakikisha tunakua vyema.

Wengine walifanya kazi za kudhalilika sana jamii iliwadharau lakini waliziba masikio yote ili watulee, tule, tuvae, tusome n.k.

Wapo waliokuwa na uwezo mkubwa wa kifedha haimaanishi hawajajitoa! Pia walitoa muda, fedha zao nyingi kwa ajili yetu kulingana na uwezo wao! Huu ni upendo na kujali sana.

Je baada ya kujitegemea umejiajiri, umeajiriwa, unabangaiza na unapata chochote umetenga asilimia ngapi % kwa ajili ya wazazi/walezi wako? Mfano unapata jumla ya 150,000 kwa mwezi unashindwa kutenga 15,000 kwa ajili yao?? Wapo wanaopata 500,000,700,000,1,000,000 hawa nao wanashindwa kutenga 40,000-60,000 tu kila mwezi kwa ajili ya kuwasaidia wazazi? Mfano kama unapata 600,000 ukaamua bajeti yao kila mwezi ni 40,000 chukua ya miezi 3= 120,000 ukawatumia kila baada ya miezi 3 watafurahi sana itawafaa kwenye matumizi yao. Kama wana fedha zaidi yako basi kwa miezi kadhaa unaanda zawadi kwa ajili yao. Hizi ndo baraka zenyewe hizi.

Watu watasema ooohhh kipato changu mi mwenyewe hakinitoshi mmmhhh kweli kabisa? Hao marafiki unawasaidia hela ngapi? Bia unawanunulia ngapi kwa mwezi? Harusi na michango mingapi kwa ajili ya kusherehekea unachangia ndugu yangu huko uliko?

Hivi kweli michango ya sherehe, starehe na marafiki zako bajeti yako inakuwa kubwa zaidi ya wazazi/walezi? Simaanishi usijumuike na marafiki hapana! Walezi/wazazi wawe ni sehemu ya bajeti yako japo 10%.

Unatoa 10% kanisani wazazi wako wana maisha magumu kweli una akili? Unatoa zaka msikitini ili uonekane huko uliko lakini wazazi wako hawajapata mlo huo ulioupata Ona unavyokuwa mwenyekiti wa kamati mbalimbali unatoa pesa nyingi ila wazazi hadi wawe na tatizo hasa kuugua ndo utoe.

Tubadilike baraka nyingine tunazikosa kwa kukosa maarifa japo 5-10% kwa ajili yao

Na,
Madam Mwajuma

f72ea42d379dfd00fde6877a7a8e577b.jpg

Kipumbu iko shule ya msingi.
d2558fe859897768527d20c9710eeeb7.jpg

Shule ya sekondari ya wa SENGE.
 
Nakuona mleta uzi hapo pichani ulivyokuwa unapiga picha kwenye hivyo vibao vya shule
 
Back
Top Bottom