Shule ya Sekondari ya Ilala Girls Islamic School yateketea kwa moto

Tunkamanin

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
955
866
Shule ya Sekondari ya Ilala Girls Islamic school imeteketea kwa moto. Shule hiyo ipo maeneo ya Ilala Bungoni, pia msikiti wa TAQWA umeungua.

Watoto wako salama ila shule imeteketea takribani yote. Kikosi cha zima moto kama kawaida yao wamechelewa kufika.

Innaa lillahi wainnaa ilaihi raajiuun

9b7fb52b704195d4769a160e813639b5.jpg
 
Shule iliyopo jirani na Msikiti wa Bungoni Ilala, Dar yaungua moto. Chanzo cha ajali hiyo hakijafahamika.

Stay turned kwa updates za video na picha
 
sasa kama hajafa mtu na kila mwanafunz yu salama hiyo inalilah rajun ni ya nini?

PNC 1 inalilah wa inna rajuun sisi Ni wa Mungu Na kwake tutarejea.Inatumika Majanga yanapotokea.Mfano mtu akifariki,Moto umetokea,Mafuriko Na vitu vingi vya majanga
 
PNC 1 inalilah wa inna rajuun sisi Ni wa Mungu Na kwake tutarejea.Inatumika Majanga yanapotokea.Mfano mtu akifariki,Moto umetokea,Mafuriko Na vitu vingi vya majanga
Kwa hiyo mafuriko yakitokea mnasema kwake Mungu tutarejea, hata kama hayagharimu uhai? Inalilah wa inna rajun!
 
Tatizo hamjui nini maana ya hilo neno na linatumika wapi acheni kukalili sisi waislam tupaswa kutamka hilo neno pind yatokeapo majanga na matukio ya kusikitisha either kufiwa au vitu vnge na ibada kwetu kusema HVO .
Sisi ni wa Allah na kwake tutarejea
 
Back
Top Bottom