Shule ya sekondari Lindi yaungua moto

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,151
9,349
Sehemu kubwa ya shule ya sekondari Lindi imeteketea kwa moto usiku wa huu.
Inasemekana ni hitilafu ya umeme.

Habari hizi ni kutoka kwa Mkuu wa Mkoa kupitia Magic FM.

===========

Ajali ya moto imeteketeza jumla ya majengo tisa ya madarasa katika Shule ya Sekondari Lindi usiku wa kuamkia leo,

Mpaka sasa chanzo bado hakijajulikana, lakini RC Lindi amethibitisha .
index-jpeg.364803

rtyhjex-jpeg.364804
 
Habari za hivi punde zinathibitisha kutokea kwa ajali ya moto katika moja ya majengo ya shule hiyo iliyopo mkoa wa lindi wilaya ya lindi manispaa, huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana.
 
Attachments

  • aaa moto.jpg
    aaa moto.jpg
    59.8 KB · Views: 73
  • IMG-20160710-WA0015.jpg
    IMG-20160710-WA0015.jpg
    69.4 KB · Views: 78
  • IMG-20160710-WA0016.jpg
    IMG-20160710-WA0016.jpg
    74.4 KB · Views: 76
shule zinafunguliwa kesho, ni shule ya zamani hii, imeezekwa kwa vigae hii ni hasara kubwa, inachukuwa sehemu kubwa ya watoto wa lindi mjini
 
hatari sana...shule yangu hii nimesoma kidato cha tano na sita pale...mlioko mjini lindi tunaomba mtupe taarifa zaidi
 
Duh! Very sad! Poleni na serikali ichukue hatua za haraka kutatua tatizo hili ili wadogo zetu waendelee na masomo!
 
hatari sana...shule yangu hii nimesoma kidato cha tano na sita pale...mlioko mjini lindi tunaomba mtupe taarifa zaidi
Taarifa zaidi zipi tena? Shule uliyosoma imeungua, tafutaneni mliosoma hapo, pelekeni michango kusaidia ukarabati. Acha longolongo, hizi ni zama za hapa kazi tu.
 
Habari wanaJF,

Ajali ya moto imeteketeza jumla ya majengo tisa ya madarasa katika Shule ya Sekondari Lindi usiku wa kuamkia leo,

Mpaka sasa chanzo bado hakijajulikana, lakini RC Lindi amethibitisha .

index.jpeg

rtyhjex.jpeg
 
mkuu,ulimaliza hapo lini?mie nimeua a-level mwaka 2008 hapo hapo!

dah,mkuu nimesoma hapo pia!ulikuwa unalala bweni gani
Lile bweni ambalo liko juu ya jiko,jina lake halisi sikumbiki lilikuwa linaitwaje ila ule mwaka wetu nakumbuka tulikuwa tumelipa jina la texas..nilimaliza 2006
 
Hii ikoje waungwana?
Tiss wamelala au?
Hii inaonyesha umakini umepungua.

What is the solution??
Tutafute solution za kudumu kunusuru shule zetu. Sio tunatengeneza madawati alafu yanaishia kuungua au kuwa kuni

Tujadili kwa pamoja
 
mkuu,ulimaliza hapo lini?mie nimeua a-level mwaka 2008 hapo hapo!

dah,mkuu nimesoma hapo pia!ulikuwa unalala bweni gani
Yaani ninyi mmeacha mambo ya msingi katika tukio hili mnaanza kujadili mahari mlipolala enzi hizo..... Je. S. ca wakubwa nyie.
 
Hii ikoje waungwana?
Tiss wamelala au?
Hii inaonyesha umakini umepungua.

What is the solution??
Tutafute solution za kudumu kunusuru shule zetu. Sio tunatengeneza madawati alafu yanaishia kuungua au kuwa kuni

Tujadili kwa pamoja

Tupe habari kamili ili tujadili Kama ulivyoomba.
 
Back
Top Bottom