Shule ya Sekondari Kazima yafungwa kwa kukosa chakula

MZAWA JF

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
4,112
3,336
Hii shule kongwe imefungwa jana kwa sababu tajwa hapo juu. mbaya zaidi ina form 6 watakaofanya mitihani may. kwa anayejua zaidi karibu.

Source: mwalimu anayefundisha hapo.

Hali ni mbaya kwa kweli
 
Shule hii iko Karibu na Ikulu ya mkoa wa Tabora. Naifahamu sana maana ni jirani na niliposoma mimi "Tabora-Boys'".
 
apo apo ada mnataka kufuta watu wanalipa ada na chakula kinaisha masomo wanakosa ii tanzania jah bless
 
kuna rafiki yangu ana mdogo wake kondoa girls nao wamefunga tangu ijumaa shida ni msosi
 
Back
Top Bottom