ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,923
- 6,932
Shule hii ya sekondari iliyokongwe katika wilaya ya kasulu, na imeibua wengi sasa meneja wake(headmaster) Zahoro Nkondokaya ameielekeza kibra, na muda wowote itafungwa.
Itafungwa kwa sababu kadhaa:-
1. Headmaster Zahoro halipi mishahara walimu na watumishi wasio waalimu, pesa yoote anakula mwenyewe tu. Hali hii imesababisha walimu kususa kufundisha na wanafunzi hawajifunzi lolote shuleni.
2. Mkuu wa shule kawadanganya wazazi walipe ada kwa simu na wazazi wasio jielewa wamelipa na anawapa receipt. Hela hii haiendi kokote zaidi ya kwenye m pesa yake tu.
3. Baada ya kuzitafuna, amekuwa akikopa pesa ya kuendesha shule kwa riba lkn pesa hiyo huangukia mikononi mwake. Mpaka sasa shule ina madeni makubwa sana.
4. Wazazi wanaojielewa tayari wamehamisha watoto wao, shule iliyokuwa na wanafunzi 800+ sasa ina 400+ na kuna taarifa kuwa makao makuu anapeleka shule ina watoto 380 tu hao wengine ni stahili yake.
Kidato cha nne wamelazimika kuhamia shule nyingine kwa masomo lkn wamesajiliwa Kasulu sec. Hawana ujanja hawa.
Kuna taarifa kuwa mkuu Zahoro ameletwa Kasulu akitokea Tanga na shule aliyokuwa anaongoza, iko hali mbaya ni kama imefungwa sasa amekuja kuua shule yetu wana kasulu.
WITO.
1. Wazazi kuweni makini na watoto mnaowapeleka hapo tapa kwa sasa, wakipata sifuri msiwalaumu. Shule ina hali mbaya. Ni bora kutafta shule nyingine bora zaidi kwa sasa siyo TAPA tena.
2. M/kiti Abdalah Bulembo, huu ushemeji hadi kwenye kazi tafadhali upunguze. Zahoro inasemwa ni shemeji. Tuhuma zote hizo zinazotajwa na zinatishia kufungwa kwa shule, unazijua lkn umeweka pamba masikioni.
3. Viongozi wa ccm wilaya na mkoa, ni bora mjiuzulu nafasi zenu. Wanakasulu wanahujumiwa na wageni, nyie mko kimya, hamfanyi lolote kuokoa watoto waliopo shuleni. Kama shule ikifungwa, itakuwa pigo kwa wilaya na mkoa mzima.
Watu wamefikia hatua ya kuomba magu awe mwenyekiti labda anaweza iokoa hali hii.
Wadau wa elimu Kasulu, iokoeni TAPA Tafadhali