mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,163
- 787
mambo mengine hayafai sana
wizara ya elimu siku ya jana ijumaa imeingia kimya kimya ndani ya ofisi za sekondari iliyofungwa siku chache zilizopita.
Wakati wanafunzi wakiwa makwao, safari hii ni zamu ya walimu. BONUS NDIMBO mkuu wa shule hiyo ametolewa nje ya
ofisi hiyo, ikiwa ni dalili ya kutosha kwamba hana kibarua tena shuleni hapo, Timu ya jamaa hao watatu kutoka jikoni
wizarani, inakagua na ni tafsiri ya kuipokea shule hiyo kutoka kwa uongozi wa shule hiyo wenye walimu wenye uduni.
Mwalimu mmoja wa shule hiyo alidai ofisi za juu zote zimejaa ubinafsi wa fedha na kazi zenye posho, na kwamba hata
udini unawezekana tu. Mwalimu huyo mgeni shuleni hapo jana alisema "kwa kuwa inapofika ijumaa au jumapili ambazo
waumini wanakwenda kuomba bila kutumwa na polisi, unafikiri likija suala la favour kiimani mtu huyo hatafanya hivyo,
akaongeza kuwa ingawa huu ni upuuzi, ktk umma wa watanzania, alilisisitiza kuwa jambo hilo lipo, na alilishuhudia siku wanaunz wa
kiislam na kikirsto walivyodindishiana kupigana.
SOURCE> mwl wa shule hiyo
Mkuu mi nilifikiri imevamiwa na majambazi kumbe wizara dah!

Muulize huyo mwalimu lile bweni la umoja bado lipo au washageuza msikiti ,kitanda changu kilikuwa pale win c