SHULE YA SEKONDARI BAGAMOYO YAVAMIWA JANA Ijumaa

mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Messages
4,193
Points
2,000
mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2010
4,193 2,000
mambo mengine hayafai sana
 
Nokla

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Messages
2,122
Points
1,250
Nokla

Nokla

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2012
2,122 1,250
wizara ya elimu siku ya jana ijumaa imeingia kimya kimya ndani ya ofisi za sekondari iliyofungwa siku chache zilizopita.

Wakati wanafunzi wakiwa makwao, safari hii ni zamu ya walimu. BONUS NDIMBO mkuu wa shule hiyo ametolewa nje ya

ofisi hiyo, ikiwa ni dalili ya kutosha kwamba hana kibarua tena shuleni hapo, Timu ya jamaa hao watatu kutoka jikoni

wizarani, inakagua na ni tafsiri ya kuipokea shule hiyo kutoka kwa uongozi wa shule hiyo wenye walimu wenye uduni.

Mwalimu mmoja wa shule hiyo alidai ofisi za juu zote zimejaa ubinafsi wa fedha na kazi zenye posho, na kwamba hata

udini unawezekana tu. Mwalimu huyo mgeni shuleni hapo jana alisema "kwa kuwa inapofika ijumaa au jumapili ambazo

waumini wanakwenda kuomba bila kutumwa na polisi, unafikiri likija suala la favour kiimani mtu huyo hatafanya hivyo,

akaongeza kuwa ingawa huu ni upuuzi, ktk umma wa watanzania, alilisisitiza kuwa jambo hilo lipo, na alilishuhudia siku wanaunz wa

kiislam na kikirsto walivyodindishiana kupigana.

SOURCE> mwl wa shule hiyo
Mkuu mi nilifikiri imevamiwa na majambazi kumbe wizara dah!
 
O

ombeni y masawe

Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
23
Points
20
O

ombeni y masawe

Member
Joined Oct 12, 2012
23 20
kabla ya kuisoma hiyo habari ninge coment vitu vihgine kabisaaaaa,mi nlijua majambaziiiiiiii.
 
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,875
Points
2,000
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,875 2,000
Muulize huyo mwalimu lile bweni la umoja bado lipo au washageuza msikiti ,kitanda changu kilikuwa pale win c
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,449
Points
2,000
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,449 2,000
sijaelewa na sitaki kuelewa, aaah subiri niwahi kitimoto mie
 
Miwatamu

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Messages
1,451
Points
1,170
Miwatamu

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2012
1,451 1,170
Jifunze kutengeneza heading inayoendana na kile unachotaka kuijuza jamii.
 
Fabian the Jr

Fabian the Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Messages
745
Points
1,000
Fabian the Jr

Fabian the Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2012
745 1,000
wizara ya elimu siku ya jana ijumaa imeingia kimya kimya ndani ya ofisi za sekondari iliyofungwa siku chache zilizopita.

Wakati wanafunzi wakiwa makwao, safari hii ni zamu ya walimu. BONUS NDIMBO mkuu wa shule hiyo ametolewa nje ya

ofisi hiyo, ikiwa ni dalili ya kutosha kwamba hana kibarua tena shuleni hapo, Timu ya jamaa hao watatu kutoka jikoni

wizarani, inakagua na ni tafsiri ya kuipokea shule hiyo kutoka kwa uongozi wa shule hiyo wenye walimu wenye uduni.

Mwalimu mmoja wa shule hiyo alidai ofisi za juu zote zimejaa ubinafsi wa fedha na kazi zenye posho, na kwamba hata

udini unawezekana tu. Mwalimu huyo mgeni shuleni hapo jana alisema "kwa kuwa inapofika ijumaa au jumapili ambazo

waumini wanakwenda kuomba bila kutumwa na polisi, unafikiri likija suala la favour kiimani mtu huyo hatafanya hivyo,

akaongeza kuwa ingawa huu ni upuuzi, ktk umma wa watanzania, alilisisitiza kuwa jambo hilo lipo, na alilishuhudia siku wanaunz wa

kiislam na kikirsto walivyodindishiana kupigana.

SOURCE> mwl wa shule hiyo
Yan wewe n mpuuzi na elimu haijakusaidia chochote, i know well Mr Bonus Ndimbo he is the best leader i have ever meet, bt nyie shangilien ujinga, THE TIME WILL TELL YOU GUYS.
 
mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Messages
4,193
Points
2,000
mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2010
4,193 2,000
wazee wastaafu kuhojiwa, hili linamaana?
 
ITEGAMATWI

ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Messages
4,557
Points
2,000
ITEGAMATWI

ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2012
4,557 2,000
Umesema huyo mwalimu mkuuanaitwa BOGUS?
 
Forum statistics

Threads 1,295,163
Members 498,180
Posts 31,201,909
Top