Shule ya msingi uvukoni kigamboni hutoza fedha za mtihani kila ijumaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shule ya msingi uvukoni kigamboni hutoza fedha za mtihani kila ijumaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmaroroi, Feb 14, 2009.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Shule ya Msingi kutoza fedha za mtihani kila ijumaa ni halali,shule hiyo pia hutoza rimu ya karatasi kwa ajili ya mtihani achilia mbali fedha ya mlinzi kwa mtindo huu tutafika?Mwanafunzi asiyelipa fedha hii hupewa adhabu pamoja na kuwa hajafanya mtihani huo.Je wizara ya elimu inayajua haya?wazazi wasumbuliwa kwa mambo mengi kwani tuisheni pia pembeni.
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Feb 14, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Unataka na wao wachapwe viboko au ??
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kama hiyo mitihani inakuwa na ubora unaokubalika na malengo mazuri ya kumjenga kijana wako, nadhani ni jambo zuri. Labda tatizo ninaloliona linaweza kuwa walezi na walezi hawakuwa wameshirikishwa ipasavyo ktk uanzishwaji na uratibu wa jambo lenyewe, au labda wewe ndiwe uliye-skip mkutano wa wazazi. Unless stated otherwise inabidi utupe full story muzee.
   
 4. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Kama mitihani hiyo ina umuhimu, ni vizuri kuiingiza katika michango ya mwaka, yaani mzazi akilipa pamoja na Karo inakuwa mara moja tu kuliko kila ijumaa na kuwafanya watoto kuwa kwenye stress. Kazi ya karo(ada) fees ni administrative issues including mitihani, mishahara ya walimu kama ni private school, na huduma zote zinazohusu kutoa elimu. Sasa kuweka mafungu katika haya ni wizi ambao unatakiwa kukemewa.
   
 5. M

  Mtu wa Kawaida JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Je kuna skabadhi ambayo hao watoto wanapewa baada ya hayo malipo??
  Je vikao vya shule vinajulishwa kuhusu mapato yanayotokana na aina hii ya mitihani?? Je kamati ya shule inaelewa kuhusu ili??
  Na hii mitihani inaandaliwa na shule au kuna baadhi ya waalimu wameanzisha huu mradi?
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kimsingi sioni tatizo iwapo michango inalipwa weekly au annually, provided wazazi na walezi wameridhia hivyo. Stress sidhani. Maana binadamu ana stress ktk mambo mengi mno, wakati mwingine hata bila sababu. Nadhani michango hiyo itakuwa only few bucks, we don't need to exaggarate kila kitu. Tkumbuke kuwa suala la elimu ni la kufa na kupona.

  Mimi nakumbuka, wakati nasoma std 7 in 1980s, kulikuwa na weekly tests ambazo ni za hiari lakini ni za kulipia. Nakumbuka jinsi wakati mwingine mzazi wangu alipoishiwa, hakuona haya kwenda kupiga kirungu jirani kwenye duka la Mangi, ili niende kupiga pepa. Wabongo tujifunze kulipia elimu.
   
Loading...