Shule ya Msingi Mountain Hill iliyopo Kimara King'ong'o inateketea kwa moto muda huu, Watoto wote wasalimika

Unakumbuka kile kisanga kule bariadi Simiyu mwaka jana? Tena nakumbuka mpk ter 7-jun-2018, Eti gari ya zima moto imefika tu eneo la tukiooo ikaanguka maji yote yakamwagika, wananchi wakaaza kuchota maji kuzima wenyewe huku gari Imekaa pembeni ina starehe ma dereva wake. Hahhaaa lile tukio lilinifanya nielewe kwa nn Bongo michezo ya bahati na sibu inategemewa ktk pato la taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
:D:D:D:D..hiyo ya maji kumwagika naikumbuka kabisa, hawa watu akili zao huwa wanazijua wenyewe
 
Back
Top Bottom