Shule ya msingi Kambarage wilayani Serengeti yafungwa kwa kukosa choo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shule ya msingi Kambarage wilayani Serengeti yafungwa kwa kukosa choo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mwl Ryoba, Oct 29, 2011.

 1. M

  Mwl Ryoba Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  shule ya msingi kambarage ilyopo wilayani serengeti ina miezi mitatu tangu ifungwe eti kwa sababu halimashauri haina milioni tano.Hii ni aibu ya miaka hamsini ya uhuru.
  Mwenge wa uhuru unatumia mamilioni ya shilingi kuwamulikia mafisadi lakini za kujenga choo zinakosa.
  Watoto wamesimamishwa masomo na muda hausubiri lini mitaala itaisha?
   
 2. u

  utantambua JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa mara ya kwanza naomba nimnukuu Nyani Ngabu " MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO"
   
 3. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Ila watanzania wanatakiwa wabadilike,naamini hiyo sehemu kuna mbunge na naamini,2015 ipo na naamini atapewa jimbo tena,sasa tuwasaidieje?kuona mabadiliko hutaki hata kufikili mabadiliko huwezi?miaka 50 ya uhuru shule inakosa choo,mi naamini miaka 50 uhuru kungekuwa tunazungumzia shule za msingi kukosa computer na vitu vinavyofanana na maendeleo
   
 4. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  iyo shule ibadilishwe na jina kabisa iitwe kikwete.
   
 5. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mh kwasababu zipi?
   
 6. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wamethubutu, wameweza na sasa wanasonga mbele.

  Btw, mbunge wa serengeti ana taarifa ya shule hiyo kufungwa kwa sababu ya kukosa vyoo? Bila shaka fedha za CDCF hapa ndipo mahali pake haswaa.

  Je diwani wa eneo husika amefanya juhudi gani kuhakikisha halmashauri inatoa fedha za ujenzi wa vyoo?

  Je wananchi kwa ujumla wao wamechukua hatua gani kuona kwamba vyoo vinajengwa ili watoto wao waendelee na masomo?
   
 7. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,000
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja %100.
   
Loading...