Shule ya msingi dar haijafunguliwa kisa choo,huku jk akitaarifu wananchi ujio wa real

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
shule ya msingi msigani mbezi haijafungua shule baada govt kushindwa kujenga choo kilichoharibiwa na mafuriko-ITV
 
hawa nao maskini wa kufikiri, wanaishi nyumba nzuri wanashindwa kuchanga pesa kidogo kwa ajili ya vyoo wanasubiri serkali,
shauri yao, mitihani haitakuwa na favour kuwa walifunga shule kisa vyoo.
acheni kutegemea serkali hata kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wa wananchi, ni aiiiiibu tupu, ndio maana serkali wanachanganyikiwa wafanye lipi waache lipi
wakifeli wataanza fulani ajiuzulu wameshasahau vimeo vyao
 
Back
Top Bottom