Shule ya Magufuli English Medium ni ya Serikali au binafsi? Elimu bure iko wapi?

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,563
3,708
Joining instruction ina malipo ya ada laki 4 na inataribu zote za shule kama za binafsi,ina mambo mengi kila kitu ni pesa.

Lakini kwenye mkutano wa wazazi tumeambiwa ni shule ya Serikali pia ni tawi la Mkapa English Medium School na wanafunzi wanaweza kuhamia shule yoyote kati ya hizo vyovyote watakavyo bila masharti.

Elimu bure ni siasa tu
 
Joining instruction ina malipo ya ada laki 4 na inataribu zote za shule kama za binafsi,ina mambo mengi kila kitu ni pesa.
Lakini kwenye mkutano wa wazazi tumeambiwa ni shule ya serikali pia ni tawi la MKAPA ENGLISH MEDIUM SCHOOL na wanafunzi wanaweza kuhamia shule yoyote kati ya hizo vyovyote watakavyo bila masharti.
Elimu bure ni siasa tu
Za kuambiwa...
 
Nadhani ni kutoelewa au hujui!.
Kuna skuli za serikali zina mfumo tofauti na hizi (mnaita kayumba) namaanisha zinaendeshwa kwa mtindo wa modern school.

Mfano,
1. Arusha primary school - Arusha.
2. Diamond ya jijini Dar Es Salaam.
3. Hata Bunge ilikuwa hivyo.

Na hata ada yake ni ya wastani ambayo mzazi wa kayumba anaweza kuimudu.
 
Unatufahamisha au unatuuliza.? Ni sekondari kwa vidato gani.? Kwa maana ‘bure’ ni mwisho kidato cha NNE!
shule ni ya msingi (nadhani kuna nursery pia??) ipo mbeya, eneo la mwanjelwa ilipokua airport ya zamani.......

nadhani imefunguliwa mwezi huu, ni shule mpya!
 
Joining instruction ina malipo ya ada laki 4 na inataribu zote za shule kama za binafsi,ina mambo mengi kila kitu ni pesa.

Lakini kwenye mkutano wa wazazi tumeambiwa ni shule ya Serikali pia ni tawi la Mkapa English Medium School na wanafunzi wanaweza kuhamia shule yoyote kati ya hizo vyovyote watakavyo bila masharti.

Elimu bure ni siasa tu

Iko mkoa gank kwa tusio ijua?
 
Unahisi umejibu nilichouliza.?
kwani niliku-quote wewe.......? mzee mimi nilimjibu aliyetaka kuijua shule ilipo.....

kujibu swali lako la awali, ile shule inaendeshwa kama private sio government japo ni ya serikali........ nadhani hata mkapa ni hivo hivo
 
Uliniquote mimi, swali langu la awali ilikuwa ni sekondari kwa vidato gani hadi mdau ahitaji elimu bure.?

Umejibu vema, kama ni private basi atulie aache kulialia!
 
Mbona ni utaratibu wa kawaida, shule za msingi za serikali za English medium sio za bure.
Mf. Olympio, Mkapa, Iringa, Diamond N.K
 
Back
Top Bottom