Shule ya Kikongo Mwenge imefungwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shule ya Kikongo Mwenge imefungwa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Enny, Nov 2, 2011.

 1. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Jamani nimesikia shule ya Kikongo iliopo maeneo ya Mwenge Dar es salaam imefungwa na wizara ya elimu.
  Kama kuna mtu anajua sababu za kufungwa naomba kujuzwa maana kuna ndugu yangu alitaka kumpeleka mtoto wake pale kwani mwakani anatakiwa kuhamishiwa Kongo kikazi.
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Haijasajiliwa kwa miaka 12 na haina hadhi ya kuwa shule kamili,majengo,na dhana za kufundishia hovyo kabisa!!!usanii.com
   
 3. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Miaka kumi na miwili,kuna wakaguzi,maafisa elimu walikua wapi cku hizo zote.SERIKALI LEGELEGE WANANCHI WAMELALA.
   
 4. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 324
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Miaka 12 halafu wanasema haijasajiliwa ina maana serikali yetu ni dhaifu kiasi hicho? Ni aibu ilioje kwa wizara husika.
   
Loading...