Shule ya jumuiya ya wazazi ccm yafungwa.

Dec 11, 2010
3,321
6,328
Shule ya jumuiya ya
wazazi wa ccm
Mabogo Wilayani
Mvomero yafungiwa
kwa kukosa usajili
na vigezo vya ubora.
Chanzo:ITV

Mkutano wao wa kesho ungejadili pamoja na hili bila kusahau ubora kanyaboya wa shule za ukata zilizo geuka vijiwe vya kujifunzia kupuliza moshi.
 
Back
Top Bottom