Shule ya Computer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shule ya Computer

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Miradi, Apr 9, 2012.

 1. M

  Miradi Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau,
  Nat
  aka kuinvest kwenye technology nina computer 10 nataka kuanzisha shule ya computer sasa:-
  1. Ni mkoa gani au wilaya gani itanilipa?
  2. Usajili wake umekaaje?
  3. Ushauri mwingine...

  Asante.
   
 2. i

  iMind JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Usajili inategemea unataka kufundisha level gani. Kuna NACTE na VATA. hii ni baada ya kufanya usajili wa kampuni kule Brela na kupata TIN number pamoja na leseni ya Biashara kutoka halmashauri husika.

  Kuhusu kulipa, ni mikoa yote ispokua DAR na ARUSHA maana kuna shuke nyingi sana hizo.
   
Loading...