Shule nzuri ya bweni kwa watoto wadogo

Mar 25, 2021
94
226
Jamani kutokana na changamoto za ajira kuwa na safari nyingi, pamoja na usumbufu wa dada wa kazi mara leo yupo wiki ijayo anataka kuondoka, naomba kujua mwenye kujua shule nzuri ya bweni kwa watoto wadogo kuanzia umri wa miaka minne hivi namaanisha nursery, bora mtoto aende huko nikutane naye likizo. Iwe nzuri, gharama isizidi 5m kwa mwaka. Mkoa wowote nchini, sio nje ya nchi. Na wasilisha.
 
Jaribu kumtafuta mama mtu mzima 50+, wapo wengi tu wanatafuta kazi. Wengine wamefiwa au kuachwa na waume zao. Hawa katika maswala ya kulea wako vizuri na hawana tena mambo ya usumbufu.

Kumpeleka mtoto mdogo boarding siku shauri.
 
Nakushauri ulichotaka ingawa kwangu mimi abadan. Ninashiriki malezi ya wanangu kila hatua, sitaki kuja kulaumu shule ya boarding wala mama yao. Whatever happens to them, amma a part of.

Kuna Bernhard Bendel, ipo Morogoro. Hawa ni pre & primary. Upande wa pri kwa mwanao kuna watu wawili reliable. Madam Glory, huyu it's like ana kipaji kudeal na watoto, pia kuna Sr. Merry Gerald, they'll take care of your child. They'll do the parenting you don't have time for.

Narudia tena, mimi sipeleki mtoto wa shule ya msingi bweni, na Mungu anisaidie. Hata wa sekondari ntajiuliza mara mbili maana pale pana pinnacle age, muhimu sana kumonitor madiliko ya tabia kwa mtoto at that age.
Nilikuta mtoto hajafunga miaka miwili yuko boarding pale Bendel, mtoto hata jina lake hawezi kutamka sawa sawa. Akikwazika darasani anasema "naenda nyumbani mimii..," huko nyumbani anakoenda ni bwenini. Imagine mtoto anakua akidhani nyumbani kwao ndo kwenye lile holi wanalolala humo watu sijui 60,80 na nyumbani kwao kupo, na wazazi wapo.
Nikasema kama ni changamoto ya wazazi ndo imemfikisha huyu mtoto hapa, Mungu awasaidie kwaajili ya huyu mtoto.
 
Jamani kutokana na changamoto za ajira kuwa na safari nyingi, pamoja na usumbufu wa dada wa kazi mara leo yupo wiki ijayo anataka kuondoka, naomba kujua mwenye kujua shule nzuri ya bweni kwa watoto wadogo kuanzia umri wa miaka minne hivi namaanisha nursery, bora mtoto aende huko nikutane naye likizo. Iwe nzuri, gharama isizidi 5m kwa mwaka. Mkoa wowote nchini, sio nje ya nchi. Na wasilisha.
Wewe jamaa Nakusikitikia na kukuhurumia sana mtoto wa miaka minne unampeleka boarding?, Faida ya kufanya hivyo ni ndogo sana kuliko hasara zake, Mtoto wa Umri huo anahitaji upendo wa Wazazi na ndio Umri wa mtoto kumjua vizuri mzazi wake,pia ndio Umri mzuri wa kumfunza Maadili mema na ishu za kiimani.Kumpleka boarding mtoto wa umri huo ni kumfanyia ukatili wa Kisaikolojia,ni sawa na kusema unawatelekezea Walimu, Sasa matokeo yake ataanza kuwapenda zaidi Walimu wake kuliko wewe, yeye ataamini kuwa Walimu wake ni watu bora na WA muhimu sana kuliko wewe,hata Ukimuonya kuhusu jambo fulani hata kusikiliza kwasababu kwenye akili yake anakuwa anaamini kwamba Walimu wake ndio watu sahihi.Mwishoni akimaliza Chuo kikuu akarudi kuishi Kwako utapata taabu Sana Kuishi nae kuna tabia usizozipenda atazionyesha na hutaweza kumrekebisha maana ni too late.Watoto wa kukulia boarding huwa hawana upendo wa dhati kwa Wazazi wao ndio maana wengine huwatelekeza wazee wao na hata kuwaua ili kuepuka usumbufu wa kuwatunza.Yangu ni hayo tu kusuka ama kunyoa ni juu yako,lkn utakuja kukumbuka maneno yangu.
 
Huo ndiyo umri ambao mtoto anakua molded na atakuja kudisplay tabia alizokua molded nazo hapo baadaye. Tunaassume a 4 year old is innocent na anahitaji protection but at times we are wrong mtoto wangu wa 5 years (me) alikutwa anaingizwa vidole na mtoto wa miaka 3 (me).

Your kid anaweza kutana na sample hizo au asikutane nazo, too bad is that due to their innocence and curiosity they tend to let the other party do what they do.

Kama upo willing kuspend mpaka 5M kwa ajili ya shule ya boarding ukamfiche huko mbali kwanini usiwe willing kua na attractive package kwa ajili ya msaidizi ili asiwaze kuondoka? I mean kwa offer ya 300K waweza ajiri hata mtu mwenye degree yake akawa anasaidia hata hizo homework.
 
Ushauri makini sana huu.Exactly.
 
Nakushauri ulichotaka ingawa kwangu mimi abadan. Ninashiriki malezi ya wanangu kila hatua, sitaki kuja kulaumu shule ya boarding wala mama yao. Whatever happens to them, amma a part of.

Kuna Bernhard Bendel, ipo Morogoro. Hawa ni pre & primary. Upande wa pri kwa mwanao kuna watu wawili reliable. Madam Glory, huyu it's like ana kipaji kudeal na watoto, pia kuna Sr. Merry Gerald, they'll take care of your child. They'll do the parenting you don't have time for.

Narudia tena, mimi sipeleki mtoto wa shule ya msingi bweni, na Mungu anisaidie. Hata wa sekondari ntajiuliza mara mbili maana pale pana pinnacle age, muhimu sana kumonitor madiliko ya tabia kwa mtoto at that age.
Nilikuta mtoto hajafunga miaka miwili yuko boarding pale Bendel, mtoto hata jina lake hawezi kutamka sawa sawa. Akikwazika darasani anasema "naenda nyumbani mimii..," huko nyumbani anakoenda ni bwenini. Imagine mtoto anakua akidhani nyumbani kwao ndo kwenye lile holi wanalolala humo watu sijui 60,80 na nyumbani kwa kupo, na wazazi wapo.
Nikasema kama ni changamoto ya wazazi ndo imemfikisha huyu mtoto hapa, Mungu awasaidie kwaajili ya huyu mtoto.

Asante mkuu, hiyo st merry gerald iko wapi?
 
Mkuu nimeandika Sr. Marry Gerald. Sr ni kifupi cha neno Sister, hawa masister wakikatoliki, inafupishwa na kuandikwa Sr. Somebody.
Kwahyo ni sister Marry Gerald
Wote niliowataja wapo kwenye shule niliyoitaja hapo.
 
Jamani kutokana na changamoto za ajira kuwa na safari nyingi, pamoja na usumbufu wa dada wa kazi mara leo yupo wiki ijayo anataka kuondoka, naomba kujua mwenye kujua shule nzuri ya bweni kwa watoto wadogo kuanzia umri wa miaka minne hivi namaanisha nursery, bora mtoto aende huko nikutane naye likizo. Iwe nzuri, gharama isizidi 5m kwa mwaka. Mkoa wowote nchini, sio nje ya nchi. Na wasilisha.
Acha Ujinga Lea Mtoto uyo...
Wakija kuwa kina Juma Lokole mnaanza kulia lia hapa Shenzi.!!!
 
Back
Top Bottom