shule nzuri kwa mwanangu

teledam

JF-Expert Member
Mar 6, 2017
927
1,239
Mambo vipi wadau

Niende moja kwa moja kwenye mada. Naomba kufahamishwa shule inayotoa malezi na elimu nzuri kwa watoto hapa Arusha ambayo angalau nitaweza afford kulingana na kipato changu

Ieleweke hapa kwamba nimelenga shule za kutwa au za kutwa na bweni na ikiwezekana weka na gharama nijipange january nimpeleke dogo akaanze naye safari yake ya kufuta ujinga

Natanguliza shukrani wadau. Asanteni sana
 
mwenye kufahamu tafadhali
Shule ya Primary au Sekondari?

Kama Sekondari ni O-level au A-level?

Kama A-level, ni mchepuo upi?

Shule ya wavulana, wasichana au mchanganyiko?

Ada unayoisema iwe affordable, wewe bajeti yako ni kiasi gani?
 
wadau hakuna mwenye ufahamu humu ama vipi wajemeni nawakumbusha tu sharing is caring
 
Shule ya Primary au Sekondari?

Kama Sekondari ni O-level au A-level?

Kama A-level, ni mchepuo upi?

Shule ya wavulana, wasichana au mchanganyiko?

Ada unayoisema iwe affordable, wewe bajeti yako ni kiasi gani?
primary mzee iwe mchanganyiko au ya wavulana poa tu
 
kama unaisoma hii post na huenda kwa namna moja ama nyingine unaweza kuwa msaada hebu usisite kutoa mchango wako tafadhali
 
Je ni kweli kwamba watu wa Arusha hampiti humu ama sijaeleweka wajemeni
 
Back
Top Bottom