Shule nchini Malawi kufungwa kuanzia leo kudhibiti maambukizi ya COVID-19

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kutokana na ongezeko la maambukizi Nchini humo, Shule zinatarajiwa kufungwa kwa angalau siku 15 kuanzia leo Januari 18, ikiwa ni harakati za kudhibiti mlipuko

Katika hotuba yake kwa Taifa, Rais Lazarus Chakwera ametangaza kuwa, wananchi hawatakiwi kutoka nje kuanzia saa tatu usiku na mikusanyiko yote inatakiwa kuhusisha watu wasiozidi 50

Aidha, Serikali inatenga kiasi cha Dola za Marekani Milioni 2 zitakazotumika kuajiri Watumishi zaidi katika Sekta ya Afya na kununua mahitaji mengine muhimu ikiwemo mitungi ya Oxygen

=====

Schools in Malawi will close for at least 15 days from Monday under new restrictions to combat a surge in coronavirus cases.

In a televised address, President Lazarus Chakwera also announced a night-time curfew from 21:00 local time.

All gatherings will be restricted to no more than 50 people.

Malawi is observing a period of national mourning following the deaths of two senior cabinet ministers from Covid-19.

A third of Malawi's 300 coronavirus deaths have taken place this month.

The president said the government was allocating a further $2m (£1.4m) to provide healthcare staff and equipment.
 
Kwani hao wamalawi bado hawajapata chanjo ya mmalekani, sisi wa tz tunayo chanjo ya asili.
 
Huku kwetu bado sana
 
😄😄😄
161052408.jpg
 
Kwani si kweli kila wakati huwa anakimbilia Chato pale Corona ikikolea?
Wewe unajuaje kuwa imekolea au imepungua?na cha zaidi huyo mtu mwenyewe hata huko aliko mambo yake ni yaleyale tu hana tahadhari zozote au kwamba huko chato corona haingii kabisa ndio maana anakimbilia huko na kujiachia tu bila kujikinga?
 
Back
Top Bottom