Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,324
- 18,479
Connection ni kitu cha kudumuKweli hapo ni connection tosha ila mpaka mzazi kufikia hatua ya kumpeleka mtoto basi mtoto na familia husika inajiweza haitegemei connection tu.
Connection ni kitu cha kudumuKweli hapo ni connection tosha ila mpaka mzazi kufikia hatua ya kumpeleka mtoto basi mtoto na familia husika inajiweza haitegemei connection tu.
Hao watoto wanasomeshwa waendeshe international companies. Au wanaendesha local companies with international exposure and connection.Ni Sawa nakubaliana na wewe hazikuwa lakini maisha yana Siri kubwa sana mkuu!!! Mungu niwaajabu sana sometimes.... Matajiri hata izi shule hawajasoma lakini ndo wanawapeleka watoto huko kusom nikuondoa ujinga tu kichwani lakini kama unataka mtoto awe na Mali mfundishe kutafuta pesa tangu mdogo asikae kae om kama una biashara nenda nae ajifunze huko!!!! Na ako kaelimu kake atakakopata maisha hayawezi kumshinda
Mbuzi wengine hawana kamba.Kweli kila mbuzi ale urefu wa kamba yako
Hawagombanii, wanawekwa.Hao sidhani kama wana mawazo ya hizi ajira tunazogombania wakina sie.....huyo anamaliza tayari kuna biashara zinamngoja asimamie hata kama ni kazi basi ni sehemu zile nzito nzito za maana
Asante Sana Dj haya tuletee
St Kayumba stejini watuburudishe na kibao mwanana Cha Elimu bureeee!
Usiwasahau wenye salary zao kuna raia anakunja 30 million Tzs kila mwezi ada milioni 10 kitu ganiWenyewe wa aina tatu: (a) wapigaji kwenye eneo lolote lile, (b) wanaosomeshewa watoto wao na waajiri wao, (c) wafanyabiashara wakubwa wasiokwepa kodi na walianzisha biashara zao kihalali, kinyume na haya ni wapigaji!
hiyo 71m ndio kiinua mgongo changuHuyo hata aliajiriwa serikalini kwa mshahara wa kitoto lazima aache kazi maana kufikia hatua ya kusoma shule hizo si kitoto jua zipo.
Hao watoto wanasomeshwa waendeshe international companies. Au wanaendesha local companies with international exposure and connection.
Bakhresa amewapeleka watoto wake huko sahivi ndo wasimamizi wakuu wa makampuni yake. Yeye amekaa pembeni, unadhani hizo kampuni zitayumba?
Hata huyo mtoto ataanzisha kampuni leo, ndani ya miaka mitano yupo mbali kuliko huyo wako atakaekuwa anasimamia duka kkoo.
Wahindi, wazungu, waarabu wanatuzidi kwenye exposure and connection. Anzisha biashara leo na yeye aanzishe yake, 5 years atakuwa na revenue 10 times yako. Unadhani kwanini?