Haven of Peace ni shule yenye maadili mazuri. Ada yake ni almost 11k usd , nje ya school bus, ukijipanga mtoto anasoma na anapata elimu bora, shida watanzania wengi tuna mipango ya muda mfupi, mtoto mpaka anaanza shule hujamfungulia bank akaunti,
Wapo watanzania, kina Mo, kina Mengi, wakurugenzi mbalimbali hata wakulima watoto wao wanasoma hapo, kupanga ni kuchagua,😅, tena wana streams kama 4 pale elementary kama Tu kayumba. La Kwa na za A, B, C,D Ila wao wameita majina tofauti, mengine wanyama.IST ni shule kwa ajili ya mabalozi na waajiriwa wa kimataifa kwao hao ni hela ndogo sana.
Km kwel vileNa huko ndiko kwny uzalishaji mkubwa wa vijana mapunga na wasagaji.
The following are saint Kayumba sec schools:Asante Sana Dj haya tuletee
St Kayumba stejini watuburudishe na kibao mwanana Cha Elimu bureeee!
nakubaliNa huko ndiko kwny uzalishaji mkubwa wa vijana mapunga na wasagaji.
Jamaa wa JF wananiambia Ni wivu unanisumbua nitafute hela ili niache kuonea wivu watoto wa kishua waliopelekwa huko kwny International schools.nakubali
Huwa hawewezi mwisho huingia kwenye hizi international NGOs au wanajiajiri kwa mambo ya modelling and fashion, na pia wengi ni mapunga hilo halina ubishi. Wanajifunza kutokana na maadili ya kizungu ya liberalism kwamba kila mtu ana uhuru wa maisha yake binafsi na na uhuru wa mwili wake kwamba anaweza kuufanya atakavyo.Hivi mtoto anayesoma hizi shule anaweza kuja kufanya kazi ya utendaji huku kwetu Nanjilinji...?
Hoja yko ina mashiko kabisa ww toto toka limezaliwa lipo ndan ya ac class ac school bus ac weeh afu mfumo wao ni wa ulaya ukute humo class yanafundishwa ushoga ni kitu cha kawaida lzma litoke pungq umoJamaa wa JF wananiambia Ni wivu unanisumbua nitafute hela ili niache kuonea wivu watoto wa kishua waliopelekwa huko kwny International schools.
Mshahara wake ni chini ya pocket money yake akiwa shuleni.Huyo hata aliajiriwa serikalini kwa mshahara wa kitoto lazima aache kazi maana kufikia hatua ya kusoma shule hizo si kitoto jua zipo.
Hizo shule pia wanachukuaga watoto wa maskini wachache kama CSR ya eneo hilo.Mimi nimesoma Kennedy House USA River saivi mbona napalilia mahindi huku Simanjiro!
hahahahahaha wewe jamaa ujue Nimecheka kama mazuri vile Hizo St kayumba za kanda IleeeeeeeeThe following are saint Kayumba sec schools:
1. Chikwengula sec school
2. Diukizula sec school
3. Ikungulyabashashi sec
4. Itabalyambiti sec school
5. Kang'ambwa sec school
6. Lupwipwi sec school
7. Sesekala sec school
8. Ng'hubujilo sec school
9. Dyasungila sec school
10. Zisodyabau sec school
Kwa leo niishie hapo ukitaka maelezo zaidi keep in touch with me through mvuhi@yafuduche.chihuwahuwa
JF wengi ni janja janja tu utasikia tafuta hela.Nimegundua wale matajiri wa JF wengi ni new money with limited rich level ya Passo...hamuwezi kushangaa ada za shule zilizopo katika nchi maskini mkienda oxford kwenyewe sasa ada zinatosha kufungua kiwanda Africa
Sijajua umetokea familia ipi, ila hizi familia zetu ni ngumu aka toka ututoe au butua uwa okoe wenzio.Haven of Peace ni shule yenye maadili mazuri. Ada yake ni almost 11k usd , nje ya school bus, ukijipanga mtoto anasoma na anapata elimu bora, shida watanzania wengi tuna mipango ya muda mfupi, mtoto mpaka anaanza shule hujamfungulia bank akaunti,
Na wapo madon Bongo, wanapeleka watoto hapo hapo Oxford badala ya kufungua KIWANDA!😂Nimegundua wale matajiri wa JF wengi ni new money with limited rich level ya Passo...hamuwezi kushangaa ada za shule zilizopo katika nchi maskini mkienda oxford kwenyewe sasa ada zinatosha kufungua kiwanda Africa
We ngombe si ulisoma sombetini wewe? Tena dawati la nyuma kuleee kwa akina edii?Wakati tukiwa level ya primary nilikuwaga na machalii zangu wao walikuwa wanasoma Sombetini Primary School tukikutanaga wakawa wananiambia wamesoma kitabu cha kiswahili kuna mashairi sijui yanaitwa "kama mnataka mali mtaipata shambani" kwani huko Kigoma shule zao hazikufundisha?😂😂
Mimi namba mojaMaskini tuko na hasira sana.