totlo masire
JF-Expert Member
- Nov 7, 2021
- 868
- 1,391
Ha ha ha hao Marais wakati wanasoma hizo shule hazikuwepo. Hata mimi wakati nasoma hizi English medium hazikuwepo ilikuwepo IST tu. Shule Bora zilikuwa za serikali,private zilikuwa Kwa ajili ya waliofeli.
Ni Sawa nakubaliana na wewe hazikuwa lakini maisha yana Siri kubwa sana mkuu!!! Mungu niwaajabu sana sometimes.... Matajiri hata izi shule hawajasoma lakini ndo wanawapeleka watoto huko kusom nikuondoa ujinga tu kichwani lakini kama unataka mtoto awe na Mali mfundishe kutafuta pesa tangu mdogo asikae kae om kama una biashara nenda nae ajifunze huko!!!! Na ako kaelimu kake atakakopata maisha hayawezi kumshinda