Shule kumi ghali Tanzania

Mlayjr

JF-Expert Member
May 7, 2013
399
250
Haven of Peace ni shule yenye maadili mazuri. Ada yake ni almost 11k usd , nje ya school bus, ukijipanga mtoto anasoma na anapata elimu bora, shida watanzania wengi tuna mipango ya muda mfupi, mtoto mpaka anaanza shule hujamfungulia bank akaunti,
 
Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
6,188
2,000
Usilaumu Watanzania. Kipato hakiruhusu. Wanaolipwa milioni ya TZS kwa mwezi hata siyo wengi. Sasa hata ingekuwa (USD4,000) milioni 10 utaifikisha vipi?
Haven of Peace ni shule yenye maadili mazuri. Ada yake ni almost 11k usd , nje ya school bus, ukijipanga mtoto anasoma na anapata elimu bora, shida watanzania wengi tuna mipango ya muda mfupi, mtoto mpaka anaanza shule hujamfungulia bank akaunti,
 
Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
2,921
2,000
IST ni shule kwa ajili ya mabalozi na waajiriwa wa kimataifa kwao hao ni hela ndogo sana.
Wapo watanzania, kina Mo, kina Mengi, wakurugenzi mbalimbali hata wakulima watoto wao wanasoma hapo, kupanga ni kuchagua,πŸ˜…, tena wana streams kama 4 pale elementary kama Tu kayumba. La Kwa na za A, B, C,D Ila wao wameita majina tofauti, mengine wanyama.
 
konyola

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
2,239
2,000
Asante Sana Dj haya tuletee
St Kayumba stejini watuburudishe na kibao mwanana Cha Elimu bureeee!
The following are saint Kayumba sec schools:
1. Chikwengula sec school
2. Diukizula sec school
3. Ikungulyabashashi sec
4. Itabalyambiti sec school
5. Kang'ambwa sec school
6. Lupwipwi sec school
7. Sesekala sec school
8. Ng'hubujilo sec school
9. Dyasungila sec school
10. Zisodyabau sec school
Kwa leo niishie hapo ukitaka maelezo zaidi keep in touch with me through mvuhi@yafuduche.chihuwahuwa
 
MtanzaniaOG

JF-Expert Member
Apr 7, 2021
222
500
Hivi mtoto anayesoma hizi shule anaweza kuja kufanya kazi ya utendaji huku kwetu Nanjilinji...?
Huwa hawewezi mwisho huingia kwenye hizi international NGOs au wanajiajiri kwa mambo ya modelling and fashion, na pia wengi ni mapunga hilo halina ubishi. Wanajifunza kutokana na maadili ya kizungu ya liberalism kwamba kila mtu ana uhuru wa maisha yake binafsi na na uhuru wa mwili wake kwamba anaweza kuufanya atakavyo.
 
renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
1,841
2,000
Jamaa wa JF wananiambia Ni wivu unanisumbua nitafute hela ili niache kuonea wivu watoto wa kishua waliopelekwa huko kwny International schools.
Hoja yko ina mashiko kabisa ww toto toka limezaliwa lipo ndan ya ac class ac school bus ac weeh afu mfumo wao ni wa ulaya ukute humo class yanafundishwa ushoga ni kitu cha kawaida lzma litoke pungq umo
 
vvm

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
4,404
2,000
Nimegundua wale matajiri wa JF wengi ni new money with limited rich level ya Passo...hamuwezi kushangaa ada za shule zilizopo katika nchi maskini mkienda oxford kwenyewe sasa ada zinatosha kufungua kiwanda Africa
 
FORTALEZA

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
10,032
2,000
Mfano halisi ni Mohamed Dewji amesoma IST kwahyo utaona ni aina gani ya watoto wanaosoma hapo
 
Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
2,461
2,000
The following are saint Kayumba sec schools:
1. Chikwengula sec school
2. Diukizula sec school
3. Ikungulyabashashi sec
4. Itabalyambiti sec school
5. Kang'ambwa sec school
6. Lupwipwi sec school
7. Sesekala sec school
8. Ng'hubujilo sec school
9. Dyasungila sec school
10. Zisodyabau sec school
Kwa leo niishie hapo ukitaka maelezo zaidi keep in touch with me through mvuhi@yafuduche.chihuwahuwa
hahahahahaha wewe jamaa ujue Nimecheka kama mazuri vile Hizo St kayumba za kanda Ileeeeeeee
Hiiiiii bha ghoshaaaaa!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
9,718
2,000
Nimegundua wale matajiri wa JF wengi ni new money with limited rich level ya Passo...hamuwezi kushangaa ada za shule zilizopo katika nchi maskini mkienda oxford kwenyewe sasa ada zinatosha kufungua kiwanda Africa
JF wengi ni janja janja tu utasikia tafuta hela.
 
joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
8,859
2,000
Haven of Peace ni shule yenye maadili mazuri. Ada yake ni almost 11k usd , nje ya school bus, ukijipanga mtoto anasoma na anapata elimu bora, shida watanzania wengi tuna mipango ya muda mfupi, mtoto mpaka anaanza shule hujamfungulia bank akaunti,
Sijajua umetokea familia ipi, ila hizi familia zetu ni ngumu aka toka ututoe au butua uwa okoe wenzio.
 
Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
2,921
2,000
Nimegundua wale matajiri wa JF wengi ni new money with limited rich level ya Passo...hamuwezi kushangaa ada za shule zilizopo katika nchi maskini mkienda oxford kwenyewe sasa ada zinatosha kufungua kiwanda Africa
Na wapo madon Bongo, wanapeleka watoto hapo hapo Oxford badala ya kufungua KIWANDA!πŸ˜‚
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom