Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,314
- 33,108
Hahah du hizi shule nyingine duu Kutakuwepo na Wasomaji shule kama hii jamani?
hATA Tanzania kuna MombasaHivi Kenya nao wana mwenge?
Mkuu Idimi jina Orignall hilo halijachakachuliwa kabisa hilo jina linatumika huko mombasaNeno 'KAA UCHI' limekuwa fabricated. Ukiangalia vizuri background yake imefutwa futwa, iko tofauti na background ya maneno mengine.
bibie MadameX; Picha haijachakachuliwa ipo poa kabisa huoni hata kwa macho yako?Mmmh picha imechakachuliwa.
Mkuu Ringo Edmund Maandishi yapo poa huoni yanavyofanana na wino ni mmoja mweusi mbona Wa-Tanzania ni watu wabishi ehhh hata macho hamuoni jamani?hata maandishi yake ni membamba kuliko hayo ya chini.
mkuu Mtoto halali na hela ni kweli jina kama majina mengine halifai kutumika kwa jina la shule sio heshima kabisa mkuu.Mbona ni jina kama majina mengine?
Ami watu8 Watutukana yakhe unatupa jina baya yakhe kila kitu basi unguja tu? kwanini husemi Tanga au dar au mtwara yakhe??????????????