Mhigwa one
Member
- Nov 5, 2016
- 60
- 46
Wadau naomba kujua shule nzuri kitaaluma hasa masomo ya sayansi na iwe ya serikali ili nipunguze makali ya ada nilizotumia o level! Tafadhari mchango.
Hii ya kwimba au kuna nyingineNyamilama sec school
Ndio ya kwimbaHii ya kwimba au kuna nyingine
Mwambie aende Mzumbe, Kibaha, Ilboru au Tabora Boys kama ni kidume kweli. Ukisoma ktk shule hizo unakuwa tofauti na hakuna spoon feeding. Mojawapo ya hizo skul Motto Yao ni "KULA KWA BIDII, KUSOMA KWA BIDII NA KUCHEZA KWA BIDII" halafu wanamalizia "USE YOUR COMMON SENSE"Wadau naomba kujua shule nzuri kitaaluma hasa masomo ya sayansi na iwe ya serikali ili nipunguze makali ya ada nilizotumia o level! Tafadhari mchango.
Mwambie aende Mzumbe, Kibaha, Ilboru au Tabora Boys kama ni kidume kweli. Ukisoma ktk shule hizo unakuwa tofauti na hakuna spoon feeding. Mojawapo ya hizo skul Motto Yao ni "KULA KWA BIDII, KUSOMA KWA BIDII NA KUCHEZA KWA BIDII" halafu wanamalizia "USE YOUR COMMON SENSE"
Hiyo sahihi kabisa mkuu, usicheze na ledo kaka....Sio yenye motto THE HEAD OF TANZANIA hahaaa umenikumbusha siku wamekimbiza dishi la wali form five wazima
ipo inaitwa key lazer high school inafaulisha mnoooChato hakuna shule nzuri?
teh teh teh teh!! Hivi hii shule bado wazazi wanapeleka watoto wao kusoma hapo?Nyamilama sec school