Shule ipi bora kati ya Kandoto, Precious blood na Maria goreth

toghocho

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
1,172
198
nataka kumpeleka binti yangu shule mojawapo kati ya hizo, amefanya interview na kufaulu zote, sasa sijui kwa maoni yenu wanajamvi ipi nzuri kwa future yake?
 
Precious blood iliyoko usa Arusha. Kama huamini compare result za nyuma na maria goreth ya moshi uone zilivyo tofauti kitaalum.
 
mkuu vipi kuhusu kandoto ambao last year results walikuwa wa kwanza kwa mkoa wa k'manjaro?
 
Nakushauri mpeleke Precious Blood, mwaka jana ilifanya mtihani wa Form kwa mara ya kwanza na ilifanya viruri
 
nataka kumpeleka binti yangu shule mojawapo kati ya hizo, amefanya interview na kufaulu zote, sasa sijui kwa maoni yenu wanajamvi ipi nzuri kwa future yake?

Kwani kata unayoisha mzazi haina shule ! :blabla:
 
nataka kumpeleka binti yangu shule mojawapo kati ya hizo, amefanya interview na kufaulu zote, sasa sijui kwa maoni yenu wanajamvi ipi nzuri kwa future yake?

Ujamaa = changia pato la taifa
kujitegemea = huduma zote tafuta mwenyewe

Zote tatu hizo ziko juu mzazi chagua moja tu mtoto akatafute nondo ili aje ajitegemee kama wewe!!
 
Wats up wit marian bagamoyo??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
St. Mary gorret ni nzuri....but all in all catholic schools are ever best..
St mary gorret ni kongwe kidogo kati ya hizo ulizotaja na ina rank nzuri sana kimkoa na kitaifa...
I prefer St. Marry Gorret
 
nataka kumpeleka binti yangu shule mojawapo kati ya hizo, amefanya interview na kufaulu zote, sasa sijui kwa maoni yenu wanajamvi ipi nzuri kwa future yake?

Hongera mwanao anaakili kama kaweza pita zote hizo...Nampa hongera zangu...
 
Nakushauri mpeleke Precious Blood, mwaka jana ilifanya mtihani wa Form kwa mara ya kwanza na ilifanya viruri
issue ni kwamba hizi shule ainazoanza unashindwa kukadiria trend ya matokeo..coz akiingia next year anafanya mtihani after 4 years, watakuwa bado kwenye form?
 
Back
Top Bottom