SHULE INAUZWA

Hosea Ben

Member
Dec 25, 2020
5
45
Shule inauzwa iko mwanza nweneo ya kisesa; ina ukubwa wa eneo la eka 6; ina vyumba vya madarasa 8; ina vyoo vya wanafunzi na walimu; ina ofisi; ina dinning hall...!!
Bei yake ni mil 130; pia mazungumzo yapo..!!

Mawasiliano: 0624226549 View attachment VID_20201231_103930.3gp View attachment 1689568 View attachment 1689569
IMG_20201231_103913.jpg
IMG_20201231_104029.jpg
IMG_20201231_103857.jpg
IMG_20201231_103835.jpg
IMG_20201231_104124.jpg
IMG_20201231_103956.jpg
IMG_20201231_104109.jpg
 

Changalucha

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
285
250
Shule inauzwa iko mwanza nweneo ya kisesa; ina ukubwa wa eneo la eka 6; ina vyumba vya madarasa 8; ina vyoo vya wanafunzi na walimu; ina ofisi; ina dinning hall...!!
Bei yake ni mil 130; pia mazungumzo yapo..!!

Mawasiliano: 0624226549 View attachment 1689570 View attachment 1689568 View attachment 1689569 View attachment 1689571 View attachment 1689572 View attachment 1689573 View attachment 1689574 View attachment 1689575 View attachment 1689576 View attachment 1689577
Hii ni shule au majengo ya iliyokusudiwa kuwa shule?
 

Rodger Mhina

Senior Member
Oct 1, 2017
121
250
Hii ni shule au pagala ??? Sema unauza kiwanja tutakuja inbox

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
Acha kashfa, hiyo siyo pagara, hayo majengo bado ujenzi unaendelea, iwapo siyo maji yako ni vizuri kupita kimya. Hadi kufikia hatua hiyo jitihada kubwa imefanyika. Tatizo pekee ni hiyo bei ambayo naona iko chini hivyo inazaa mashaka
 

Immanuel Simon Mathew

JF-Expert Member
Apr 2, 2020
509
1,000
Hiyo siyo shule bali ni majengo yanayoweza kutumika kama madarasa au ofisi za shule. Ukisema shule unamaanisha unauza majengo, wanafunzi, walimu na watumishi wengine vyote kwa pamoja.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom