Shule hizi za kata & vyuo vikuu vitazalisha vijana watakao wang'oa vigogo madarakani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shule hizi za kata & vyuo vikuu vitazalisha vijana watakao wang'oa vigogo madarakani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Benno, Jan 24, 2011.

 1. B

  Benno JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  NIMETEMBELEWA NA MBUNGE WA KIPINDI CHA MWINYI NAYE ALIIKUMBUKA ILE MANENO YA JENERALI ULIMWENGU ALIYO YA ANDIKA " Shule za Kata na Vyuo vikuu vilivyoanzishwa kwa wingi vitatoa vijana walioiva na kukosa ajila, Ndipo hapo watakapo ingia barabarani na Kudai Haki zao huku wakiongea lugha sawa na ya Vigogo waliodhani Nchii hii wataitawala mpaka kufa kwao.

  ALiongeza kwa Kusema ''''' Anaona Maendeleo ya siasa yanayo onekana waziwazi"

  Nanukuu """CCM MWAKA FULANI WALISEMA CUF NI YA WAISILAM NA WAKAONYESHA NA MAPANGA, CHADEMA WALIITAMKA KAMA YA WACHAGA WA KASKAZINI -KISA WABUNGE WAKE BAADA YA HAYO YOTE KUTOFANIKIWA" MWAKA HUU WAMESEMA NI YA WAKATOLIKI"

  Je Vijana hawa waliopo Vyuo Vikuu hawawezi kutambua Nini CCM Inafanya ili iendelee kubaki Madarakani?
  Sina Kadi ya Chama, Nina kitambulisho cha utaifa
   
Loading...