Shule hii Mbeya iko wapi?

Wakati ninaondoka swimming pool, gymnasium, laundry, dispensary, dining hall na hot water heaters kila bweni pamoja na wanafunzi na walimu mnakula chakula pamoja kuanzia breakfast mpaka super. Enzi hizo tulikuwa tunalipa ada shs. 2,000/= (elfu mbili) sawa na kununua gari!
We ni muhenga
 
Mzee wangu ubabe ,ulevi na mademu ilikuwa part tu ya hobby zetu ila kiuhalisi hizi shule watu wanapiga msuli hatari

Mfano pale iyunga kila muda watu wako class iwe vipindi au prepo watu wanasongoka balaa utadhani wametumwa kuja kusomea kijiji .

Ukiamka SAA Tisa usiku ukipata madarasani unakuta taa zinawaka na hukosi watu wanaojisomea pamoja na baridi LA mbeya lakinj wana wanakomaa hatari

Sio ajabu hizo shule kupiga div coz msuli ulipigika kweli kweli na hapo kati shule kama iyunga ilikuwa na waalimu ma expert kwenye masomo waliyofundisha kiasi kwamba wakawa wanazmwa na St fransic ,mbalizi,na st Mary mbalizi .

Ila sasa walivyoleta shule za kata iyunga ikageuka kituo cha kuzalisha ma headmaster was shule za kata .

Walimu wetu best karibia wengi wakapewa uongozi shule ikabaki na walimu wachache .

Sijui Siku hizi matokeo yao yakoje maana sijawafuatilia muda sana .

Levavi oculos
Iyunga inazidiwa hadi na shule za Kata siku hizi
 
Hahahahab.kyege alikuwa mibangi sana .

Alishawahi kunitibua karakana pale siku moja nikamcheki na meno yake ya rangi rangi zile nikasema poa tu tusikutane mtaa
Ahaaa
Mwakasage
Mwakitalima
Mshangama
Ndudi wa Technical drafting

Msaki
Kisusange
Zamgambo wa Brick work
Mr matally wa ele trical installation

Mambo ni mengi siwezi ongea yote, Ile haikuwa shule bali kambi ya Jeshi
 
Hiyo shule ya NA Mbeya ndipo ilipo sasa Meta Secondary School karibu na Mabatini. Ilichukuliwa na CCM imekuwa Shulman ya wazazi.
Mpaka sasa sijapata jibu, inamaana hiyo shule imeyeyuka! Shule za bodingi za wavulana Mbeya mjini zilikuwa mbili LA (NA) Forest na Santa Joseph (Nzovwe)
 
Back
Top Bottom