Averos JF-Expert Member Aug 6, 2010 993 695 Dec 7, 2012 #1 wakuu nisaidieni shule bora, ndugu yangu yuko Lindi anataka kumpeleka mtoto wake shule bora yenye taaluma na maadili mazuri hapo Lindi, asanteni sana
wakuu nisaidieni shule bora, ndugu yangu yuko Lindi anataka kumpeleka mtoto wake shule bora yenye taaluma na maadili mazuri hapo Lindi, asanteni sana