Shule bora kwa elimu bora

curtis jr2

JF-Expert Member
Dec 22, 2016
756
4,589
Wakuu mimi naitaji kujua ni shule gani nzuri ambayo nikienda kusoma nitaweza kufaulu vizuri ngazi ya A-level aksante.
 
Egm wakuu nipo mkoani ila naitaj shule tofaut na mkoa wa kagera
 
Kwa shule za A - level sina uzoefu sana ila nakushauri usomee shule za serikali ndio ufundishaji wake uko vizuri hata ufaulu.

Kwa mtazamo wangu nashauri muende shule ya kastazini ikiwemo shule za moshi au arusha, za dar pia ni nzuri pia kwa ufundishaji wake.
 
Aksante sana kaka
 
Wakuu mimi naitaji kujua ni shule gani nzuri ambayo nikienda kusoma nitaweza kufaulu vizuri ngazi ya A-level aksante.
Kufaulu kwako ni kusoma kwako kwa bidii na si jina la shule. Kwa A level kama ulifaulu kwa haki O lelve unahitaji mwongozo wa mwalim kwa kiasi fulani. Ila pia kama kwa level hii unaweza kuingia JF ila huna nafasi ya kufanya google search kuona shule nzuri kwa performance rank??!!! Jiongeze.
 
Ndugu nimeingia google lakin c vibaya kuuliza pia.
 
Back
Top Bottom