Shule binafsi mwanafunzi anafundishwa mbinu za kufaulu mtihani na sio kupata elimu itakayompa maarifa

Artifact Collector

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
6,539
10,006
Ukiangalia matokeo ya kidato cha NNE na sita ni ukweli usiopingika wanafaulu sana, lakin ukiangalia shule binafsi nyingi wanafunzi wanafundishwa mbinu za kufaulu mtihani na sio kuelewa mazingira yaliyomzunguka.

Kwenye hizo shule msisitizo ni kufaulu Kwa sababu elimu ni biashara, matokeo yake Hugo mwanafunzi akienda chuo akimaliza anakua incompetent Kwa sababu msingi wake alikuwa anapewa mbinu za kufaulu na sio kuelewa.

Ndo maana wanafunzi wengi wa kileo wanavyeti vizuri sana lakin kichwani hamna kitu, hawana maarifa
 
Acha UONGO wewe km mwalimu alikuwa haingii darasani usilaumu wanaopata vyeti, nenda kauze miwa na juice barabarani.Mkuu wa Mkoa wa Lindi Erasto Zambi walimu hawakai darasani kabisa sasa wanafunzi watajifunza nini,
 
Back
Top Bottom