mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,036
Kuna mabadiliko makubwa sana katika ushindani wa matokeo ya kidato cha sita. Wakongwe waliotesa kwa miaka mingi wamepigwa mweleka mkali wakiwemo Marian Girls, Feza boys, Marian boys, Feza boys, Kibaha sekondari, Uwata sekondari nk. Je tatizo ni nini? Mkeka huu hapa:
- Kemebos Sekondari, Kagera - Shule ya Binafsi.
- Kisimiri Sekondari Arusha - Shule ya Serikali.
- Tabora Boys Sekondari Tabora -Shule ya Serikali.
- Tabora Girls Tabora - Shule ya Serikali
- Ahmes Sekondari Pwani - Shule ya Binafsi
- Dareda Sekondari Manyara - Shule ya Serikali
- Nyaishozi Sekondari, Kagera - Shule ya Binafsi
- Mzumbe Sekondari Morogoro, Shule ya Serikali
- Mkindi, Tanga - Shule ya Serikali
- Ziba, Tabora - Shule ya Serikali.