Shule 10 bora matokeo ya kidato cha Sita 2018/2019

pmwasyoke

pmwasyoke

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2010
Messages
3,749
Points
1,500
pmwasyoke

pmwasyoke

JF-Expert Member
Joined May 27, 2010
3,749 1,500
Hili ni tango pori. Pale Kisimiri hakuna wahadhari kutoka nje. Tena hamna wahadhiri kuna walimu.
Mkuu, amesema wafadhiri " naamini akimaanisha wafadhili" sio wahadhiri.
 
M

Miss Madeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Messages
3,186
Points
2,000
M

Miss Madeko

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2014
3,186 2,000
Mbona na sikia T.O ametokea hapo hapo Kisimiri............ shule za secondary za serikali zilizopo huko Kaskazini huwa zinafanya vizuri sana............ Msiniulize kwanini maana hata mimi nashangaa
 
Wordsworth

Wordsworth

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
438
Points
1,000
Wordsworth

Wordsworth

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2019
438 1,000
Ndio uache ufala sasa. Kukurupukia comment za wanaume huku unapenga kamasi. Unaona ulivo adhirika???
Hahahaa we ni mke wa niliemquote?
Siwezi kuhadhirika na siku nyingine nikijisikia nakurupuka.
 
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
5,340
Points
2,000
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
5,340 2,000
Mbona na sikia T.O ametokea hapo hapo Kisimiri............ shule za secondary za serikali zilizopo huko Kaskazini huwa zinafanya vizuri sana............ Msiniulize kwanini maana hata mimi nashangaa
Kwanza huyo TO Herman kamugisha ni mwenyeji wa kagera.


Form six shule nyingi hubeba watu kutoka mikoa mbalimbali tofauti na form four
 
Ulimbo

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Messages
1,902
Points
2,000
Ulimbo

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2009
1,902 2,000
Kisimiri sio ya mkata.. ni shule ya vipaji maalumu mkuu..
Husiwe mbishi na jambo husilo lijua.
Kisimiri ni shule ya kata, kama ilipandiswa hadi na kuwa ya vipaji maalum haibadilishi kuwa ya kata.Shule hii ilianzishwa mwaka 2002, na ilikuwa ikisimamiwa na meratibu wa Elimu. Ilianza na waalimu wanne, watatu kati yao walikuwa waalimu wa kujitolea baada ya kumaliza kidato cha sita. Ni mmoja tu ndiye aliyekuwa na taaluma ya ualimu
 
The genius man

The genius man

Member
Joined
Feb 21, 2018
Messages
91
Points
125
The genius man

The genius man

Member
Joined Feb 21, 2018
91 125
Nop ni wa mazinde juu
Mbona na sikia T.O ametokea hapo hapo Kisimiri............ shule za secondary za serikali zilizopo huko Kaskazini huwa zinafanya vizuri sana............ Msiniulize kwanini maana hata mimi nashangaa
 
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
13,286
Points
2,000
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
13,286 2,000
Husiwe mbishi na jambo husilo lijua.
Kisimiri ni shule ya kata, kama ilipandiswa hadi na kuwa ya vipaji maalim haibadilishi kuwa ya kata.Shule hii ilianzishwa mwaka 2002, na ilikuwa ikisimamiwa na meratibu wa Elimu. Ilianza na waalimu wanne, watatu kati yao walikuwa waalimu wa kujitolea baada ya kumaliza kidato cha sita. Ni mmoja tu ndiye aliyekuwa na taaluma ya ualimu
Shule ya kata inayochukua wanafunzi wenye vipaji maalumu

Haya na hapo utabisha , pcm hakuna mwenye three o level pale hata two sidhani kama kuna mtu alichukuliwa pale o level
 

Forum statistics

Threads 1,326,281
Members 509,458
Posts 32,217,002
Top