Shule 10 bora matokeo ya kidato cha Sita 2018/2019

Geniustin

Geniustin

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Messages
3,441
Points
2,000
Geniustin

Geniustin

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2013
3,441 2,000
Ndiyo, ni moja ya zile shule za kata zilizoanzishwa miaka ya nyuma. Kwa nini umeuliza hilo swali?
Hivi hiyo ni shulr ya kata? Hahaha...shule inayopokea wanafunzi kutoka Mikoa yote ya Tanzania tena wenye ufauli mzuri sana.

Alafu hiyo ina wafadhiri wa nchi za nje.
 
Wordsworth

Wordsworth

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
370
Points
1,000
Wordsworth

Wordsworth

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2019
370 1,000
Hivi hiyo ni shulr ya kata? Hahaha...shule inayopokea wanafunzi kutoka Mikoa yote ya Tanzania tena wenye ufauli mzuri sana.
Alafu hiyo ina wafadhiri wa nchi za nje.
Hili ni tango pori. Pale Kisimiri hakuna wahadhari kutoka nje. Tena hamna wahadhiri kuna walimu.
 
Forum statistics

Threads 1,313,889
Members 504,678
Posts 31,807,282
Top