Shukuruni hata kwa hako kamoja mnakopata

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,597
Wallah kuna shobo nyingine hazina upako... Kabisa unamkuta bidada anakejeli tena kwa kubana pia yake bapa... "Sitaki mwanaume wa kunichafua chupi... mwanaume mwenyewe si mali kitu, kimoja tu kalegea kama mlenda wa kiangazi, anahema kama mjusi aliebanwa mlangoni... "
Wee dada wewe shukuru Mungu yupo hata huyo w a kukuchafua nguo ya ndani... Siku hizi hivyo viumbe ni adimu... Ikimuona utadhani mgumu kama kichuguu juani, ukimpa mteke kama kichuguu kilichonyeshewa mvua ya masika!
Afadhali hata huko kijijini mnaweza kuokoteza... Mjini pagumu dada zangu
Wa mjini wanashindana misuko ya nywele na dada zao
Wa mjini wanashindana makeups na watoto wa kike... Hakuna tofauti ya dressing table ya kaka na dada
Wa mjini wanatinda nyusi na kulamba midomo
Wa mjini wanashindana kubinua makalio kwa kucheza singeli..... Mchiriku ndio ilikuwa ngoma ya wanaume
Wa mjini wanajua mpaka kutoga masikio na vitovu.. Wakiju kila aina ya hereni na vishaufu
Wa mjini eti nao wanavaa shanga kiunoni na miguuni.. Tena mguu wa kushoto!
Wa mjini wananukia kuzidi dada zao...! Kuna kitu kweli hapo ama mdebwedo tuu. Tia maji tia maji

Dada kama umempata mndendeule wako wa japo kuweza kukuchafua... Mshukuru Maulana kisha mboreshee lishe, mpunguzie Changamoto, mpe wasaa wa kupumzika... Mpe amani ya moyo kadiri uwezavyo... Mpe afya ya akili kwa kumuweka kwenye stress free zone... Unaweza kujikuta unachonga mpingo wako imara
Ukitaka kushindana na kuleta ujuaji utaishia kudate na wapaka poda kisha ulaumu wote🤔🤔🤔

Alamsiki wapendwa kilingeni leo kukavu...!!!!
 
IMG-20180926-WA0069.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom