Shukurani Kutoka kwa Mtambuzi kwa wana Jamii Forum.

opssssssss! pole mkuu kwa madhila yalokufika. Aisee ningejua hilo ningekuja kukuona wakati nipo kwa hilo jiji la karaha na ufedhuli!
 
Pole sana kiongozi,naamini operesheni imekwenda vizuri,nakuombea upone haraka uendelee na mihangaiko yetu ya kila siku ya kuhemea.
 
Back
Top Bottom